Hizi ni dharau kwa sisi wana Mbeya

Hizi ni dharau kwa sisi wana Mbeya

Yani tumefika mahala tunajadil mambo haya! me nashangaa sn,wakati tuna kazi nzito ya kuutoa utawala dharimu na kandamizi wa ccm hapa Tz.
Malawi walinuwia na wameweza,ss badala ya kujikita ktk kuwaelimisha wale wasiojielewa wawe na ufahamu na kuyajua yale mabaya yanayofanywa na ccm ili tuungane,et tunajadili lift-elevators kaaa!!!! Watu wa Kigoma na Tabora na maeneo mengine watasema nn?
Sijui kwetu Kiomboi zipo hizi?

nenda siasani ndo maana kuna majukwaa tofaut humu ndani
 
Watumie fursa hio kama kivutio cha utalii...


Sipati picha foleni itakavyokuwa ndeeeeeeefuuuuuuuu...
 
Tatizo la kutotangaza:

attachment.php


Hii ilitokea Quality Plaza

1289901833Cu404a.jpg
 
Tutajie majengo yenye elevators mkoa unaotoka pls
You are missing the point, haya sio mashindano. Mimi nimeuliza tu na pia sio kwamba ni muhimu sana hizo lift ziwepo. Kama hakuna jengo refu sana ni wazi hakuna haja ya kuwa na lift.

Kwa hiyo acha mashindano yasiyo na msingi kwa sababu hata nikikutajia haisaidii chochote wala kuwepo au kutokuwepo kwa hivyo vitu hakuniongezei wala kunipunguzia chochote ukizingatia sasa hivi wala siishi katika mkoa ninaotokea.
 
You are missing the point, haya sio mashindano. Mimi nimeuliza tu na pia sio kwamba ni muhimu sana hizo lift ziwepo. Kama hakuna jengo refu sana ni wazi hakuna haja ya kuwa na lift.

Kwa hiyo acha mashindano yasiyo na msingi kwa sababu hata nikikutajia haisaidii chochote wala kuwepo au kutokuwepo kwa hivyo vitu hakuniongezei wala kunipunguzia chochote ukizingatia sasa hivi wala siishi katika mkoa ninaotokea.

Mtaicheka sana Mbeya lkn kwenye income per Capita na kwenye kuchangia pato la Taifa mkoa wetu unabaki kuwa namba 2!

Kama wewe ni Mzaramo au Mndengereko toka Dar unaweza icheka Mbeya!
 
Sio mbaya, kwani shida nini? Tusijifanye ati tunazijua saaana hizo elevetors. Tanzania hatujui chochote. Lift au elevetors ni anasa kwa watanzania. Ulipoweka mada yako, bila shaka kila mtu anaanza kuhesabu ziko ngapi mjini kwake. Ni aibu.
Dar penyewe wajanja wanaogopa kupanda hizo elevetors ama kwa ushamba au anaogopa umeme ukikatika atatumia zaidi ya nusu saa akiwa ndani ya lift. Na kwanza maghorofa yenye hizo mashine yanahesabika. Nenda kaangalie yale maghorofa yenye elevetors za ngazi, yako mangapi na wangapi wanapanda. Airport tu pale watu wanataka kudondoka wakipanda ka elevetor kao.
Nadhani pia wamiliki wa majengo hususani makubwa wanatakiwa kubadirika sasa. Bahati mbaya pesa zinashikwa na watu wasio na elimu. Na ma archictects wetu sijui wamelala? Huwezi plan au jenga jengo la ghorofa tatu na zaidi halafu usiwe na plan ya lift, hata kama umeme ni wa kubeep. Ukikuta huwezi kuweka mashine sasa kwanini usiache shimo ka kuweka hata kesho!!! Kwa kweli ni aibu.
Halafu Jerrymsigwa usijifanye wewe watoka New York wakati mkoa wako ni maskini sana tena ukiwa ni jirani na Mbeya. Maana ulianza na airport ya Mbeya, halafu naona sasa una issue hii nyingine kwa jirani. Naona unapenda sana kuchungulia jirani kafanya nini huku wewe kwako hufanyi chochote. Tabia hizo ni za kike kaka. Usijifanye una hali nzuri kwako, wakati huna cha kujisifia. Au ndio maisha ya facebook hayo? Mnaishia kupiga mapicha kwenye miji au majengo au maliza za watu na kujiona wajanja wakati miji, majengo au mali hizo zimejengwa na wenzako. Wewe wajivunia nini kwenu?

Dah! kwa kukurupuka mkuu nimekupiga nyota begani, soma heading yake kwanza sio unamshambulia tu, umtake na radhi.
 
Last edited by a moderator:
Jamani tarehe 10/06/2014 ndio leo Updates mbona hatupati?
Hako kalifti kapo wapi?Uhindini nini?
 
Back
Top Bottom