Hizi ni dharau kwa sisi wana Mbeya

Hizi ni dharau kwa sisi wana Mbeya

JENGO LA CHAMA CHA WALIMU MKOA WA MBEYA - GHOROFA 7. hakuna jengo refu kuliko hili mkoa mzima wa Mbeya. Si ubaguzi ila ni ukweli tu. Jengo hili lipo karibu na SOKO MATOLA, ..🙂😛hoto:
attachment.php
 
Yani tumefika mahala tunajadil mambo haya! me nashangaa sn,wakati tuna kazi nzito ya kuutoa utawala dharimu na kandamizi wa ccm hapa Tz.
Malawi walinuwia na wameweza,ss badala ya kujikita ktk kuwaelimisha wale wasiojielewa wawe na ufahamu na kuyajua yale mabaya yanayofanywa na ccm ili tuungane,et tunajadili lift-elevators kaaa!!!! Watu wa Kigoma na Tabora na maeneo mengine watasema nn?
Sijui kwetu Kiomboi zipo hizi?
 
Mbona hii hali ni ya kawaida tu sasa rikodi zitawekwa vp na wadau kama sio kutangaza kwa mtindo huo,acheni kutokwa na mapovu bana
 
Sio mbaya, kwani shida nini? Tusijifanye ati tunazijua saaana hizo elevetors. Tanzania hatujui chochote. Lift au elevetors ni anasa kwa watanzania. Ulipoweka mada yako, bila shaka kila mtu anaanza kuhesabu ziko ngapi mjini kwake. Ni aibu.
Dar penyewe wajanja wanaogopa kupanda hizo elevetors ama kwa ushamba au anaogopa umeme ukikatika atatumia zaidi ya nusu saa akiwa ndani ya lift. Na kwanza maghorofa yenye hizo mashine yanahesabika. Nenda kaangalie yale maghorofa yenye elevetors za ngazi, yako mangapi na wangapi wanapanda. Airport tu pale watu wanataka kudondoka wakipanda ka elevetor kao.
Nadhani pia wamiliki wa majengo hususani makubwa wanatakiwa kubadirika sasa. Bahati mbaya pesa zinashikwa na watu wasio na elimu. Na ma archictects wetu sijui wamelala? Huwezi plan au jenga jengo la ghorofa tatu na zaidi halafu usiwe na plan ya lift, hata kama umeme ni wa kubeep. Ukikuta huwezi kuweka mashine sasa kwanini usiache shimo ka kuweka hata kesho!!! Kwa kweli ni aibu.
Halafu Jerrymsigwa usijifanye wewe watoka New York wakati mkoa wako ni maskini sana tena ukiwa ni jirani na Mbeya. Maana ulianza na airport ya Mbeya, halafu naona sasa una issue hii nyingine kwa jirani. Naona unapenda sana kuchungulia jirani kafanya nini huku wewe kwako hufanyi chochote. Tabia hizo ni za kike kaka. Usijifanye una hali nzuri kwako, wakati huna cha kujisifia. Au ndio maisha ya facebook hayo? Mnaishia kupiga mapicha kwenye miji au majengo au maliza za watu na kujiona wajanja wakati miji, majengo au mali hizo zimejengwa na wenzako. Wewe wajivunia nini kwenu?

Mbona povu linakutoka mkuuu? Pole kwa kuwa nyuma ya maendeleo,,, kuna uzi humu unadai jiji la mbeya n kma kijiji

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Last edited by a moderator:
JENGO LA CHAMA CHA WALIMU MKOA WA MBEYA - GHOROFA 7. hakuna jengo refu kuliko hili mkoa mzima wa Mbeya. Si ubaguzi ila ni ukweli tu. Jengo hili lipo karibu na SOKO MATOLA, ..🙂😛hoto:
Si ndio hili jengo lipo karibu na ile baa kubwa kando tu ya ule uwanja wa mpira wa miguu (ndondo)
 
soko matola nakupata huko
karibu na loleza girls
Kwa hiyo wafanyakazi wa floor za juu watapata fursa ya kuchungulia mle ndani? Daah, Loleza ni kama gereza fulani, enzi hizo ilikuwa mbinde sana kumuona ndugu yako mle ukimtembelea, sijui siku hizi!
 
Duh nimejikuta nacheka sana, kweli wanambeya hizo ni dharau duhh, haya kazindueni malafyale.
 
Sio mbaya, kwani shida nini? Tusijifanye ati tunazijua saaana hizo elevetors. Tanzania hatujui chochote. Lift au elevetors ni anasa kwa watanzania. Ulipoweka mada yako, bila shaka kila mtu anaanza kuhesabu ziko ngapi mjini kwake. Ni aibu.
Dar penyewe wajanja wanaogopa kupanda hizo elevetors ama kwa ushamba au anaogopa umeme ukikatika atatumia zaidi ya nusu saa akiwa ndani ya lift. Na kwanza maghorofa yenye hizo mashine yanahesabika. Nenda kaangalie yale maghorofa yenye elevetors za ngazi, yako mangapi na wangapi wanapanda. Airport tu pale watu wanataka kudondoka wakipanda ka elevetor kao.
Nadhani pia wamiliki wa majengo hususani makubwa wanatakiwa kubadirika sasa. Bahati mbaya pesa zinashikwa na watu wasio na elimu. Na ma archictects wetu sijui wamelala? Huwezi plan au jenga jengo la ghorofa tatu na zaidi halafu usiwe na plan ya lift, hata kama umeme ni wa kubeep. Ukikuta huwezi kuweka mashine sasa kwanini usiache shimo ka kuweka hata kesho!!! Kwa kweli ni aibu.
Halafu Jerrymsigwa usijifanye wewe watoka New York wakati mkoa wako ni maskini sana tena ukiwa ni jirani na Mbeya. Maana ulianza na airport ya Mbeya, halafu naona sasa una issue hii nyingine kwa jirani. Naona unapenda sana kuchungulia jirani kafanya nini huku wewe kwako hufanyi chochote. Tabia hizo ni za kike kaka. Usijifanye una hali nzuri kwako, wakati huna cha kujisifia. Au ndio maisha ya facebook hayo? Mnaishia kupiga mapicha kwenye miji au majengo au maliza za watu na kujiona wajanja wakati miji, majengo au mali hizo zimejengwa na wenzako. Wewe wajivunia nini kwenu?

Usiseme elevator za ngazi, sema sema escalator
 
Last edited by a moderator:
Hivi nini maana ya kuwa na lifti, ni sawa na kumcheka mtu asiye na friji kule kitulo ambako maji ya bombani tu ni ya baridi zaidi ya kwenye friji Dar.
 
JENGO LA CHAMA CHA WALIMU MKOA WA MBEYA - GHOROFA 7. hakuna jengo refu kuliko hili mkoa mzima wa Mbeya. Si ubaguzi ila ni ukweli tu. Jengo hili lipo karibu na SOKO MATOLA, ..🙂😛hoto:

Lkn masopakyindi alisema Mbeya yote hamna jengo la maana
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli "jiji" la Mbeya halikuwa na lifti yeyote hadi 2014??!! Ujue mimi niliiona hii nikadhani jamaa wameamua kufanya komedi.

Tutajie majengo yenye elevators mkoa unaotoka pls
 
Back
Top Bottom