Hizi ni dharau kwa sisi wana Mbeya

Hizi ni dharau kwa sisi wana Mbeya

Dah! kwa kukurupuka mkuu nimekupiga nyota begani, soma heading yake kwanza sio unamshambulia tu, umtake na radhi.
Kyvo hujijui wewe kuwa ndio mkurupukaji. Usidandie tu. Soma anavyo post huyo jamaa kuhusu Mbeya. Kwanza si mkaazi wa Mbeya.
 
Last edited by a moderator:
mtulekhe twe bhana bha kumbeje

Mti wenye matunda matamu ndio kijiwe cha watoto, Mby inakuja juu kwa kasi kubwa,kwa hiyo lazima isemwe sana. Kusemwa kuna pande mbili,lazima uzikubali zote ili pabaya urekebishe na pazuri uimarishe.
 
Kaka Nicas Mtei usitukane watu wakati wewe ni verified user... Ni akili ndogo tu wahitaji kutumia kujua hilo.

Duh!!! Hiyo kali!! Kwahiyo wanaoruhusiwa kutukana ni wenye kutumia pen İD

BTW, kwa akili zako kubwa, umejuaje kama kweli ni verified user? Kesho nikifungua id mpya ya jina Moses Gwajima, utaamini ni jina langu la ukweli kwa kuwa tu nimewadanganya mods kuwa ni jina langu halisi?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli "jiji" la Mbeya halikuwa na lifti yeyote hadi 2014??!! Ujue mimi niliiona hii nikadhani jamaa wameamua kufanya komedi.

Kwangu mimi hata sishangai.
Ninaamini ni miji michache sana Tanzania ina majengo yenye elevator.

Mpaka majuzi tu, ESCALATOR ilikuwepo uwanja wa ndege tu wa Dar, kwa nchi nzima, wakati ukienda miji ya wenzetu hata hapo kenya, unakuta jengo lina escalator, ngazi za kawaida pamoja na Lift. Hapa bongo wengi hawajawahi kuona escalator.

Nchi hii tupo nyuma saaaaaaaaaaana!
 
Nakumbuka kuambiwa kuwa hapo Mbeya hairuhusiwi kujenga nyumba yenye ghorofa zaidi ya TATU kufuatana na hali ya upepo wa mji huo; sasa kama building regulations haziruhusu kujenga zaidi ya ghorofa tatu ,hizo lift zitakuwa na faida gani kwenye nyumba za ghorofa tatu?
 
Mtaicheka sana Mbeya lkn kwenye income per Capita na kwenye kuchangia pato la Taifa mkoa wetu unabaki kuwa namba 2!

Kama wewe ni Mzaramo au Mndengereko toka Dar unaweza icheka Mbeya!
Watu wengine bwana!!! Sasa mimi nimeicheka Mbeya wapi?!!
 
Kwangu mimi hata sishangai.
Ninaamini ni miji michache sana Tanzania ina majengo yenye elevator.

Mpaka majuzi tu, ESCALATOR ilikuwepo uwanja wa ndege tu wa Dar, kwa nchi nzima, wakati ukienda miji ya wenzetu hata hapo kenya, unakuta jengo lina escalator, ngazi za kawaida pamoja na Lift. Hapa bongo wengi hawajawahi kuona escalator.

Nchi hii tupo nyuma saaaaaaaaaaana!
Hizo "escalator" kwani zinapatikana wapi siku hizi ukiacha hapo jengo la kusubiri kupandia ndege, maana mi Dar mgeni sana ati?
 
Kwani ni nyumba ya gorofa ngapi?
Hapo hamna la kushangaza maana hata majuu majumba ya gorofa 6 sometimes hayana lift,sasa jiulize hivi mbeya kuna majumba yanayozidi gorofa 5 au 6??
 
Kwani ni nyumba ya gorofa ngapi?
Hapo hamna la kushangaza maana hata majuu majumba ya gorofa 6 sometimes hayana lift,sasa jiulize hivi mbeya kuna majumba yanayozidi gorofa 5 au 6??


Hilo jengo lina ghorofa 7. Karibu Tanzania Skyscrapercity Forum ujionee majengo ya TZ.


 
MKUU Joe Nyandigira umeona hz nguo rangi inayonivutia hapa
hebu chagua nawe ya kumpa mkk nguo wedd1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ina maana miaka yote mbeya haijawahi kuwa na lift jamani mbn mnatufanyia haya
 
Back
Top Bottom