BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,124
- 22,904
Unamaliza lini mshamba wangu?haya nisubiri nimalize shule

Mkuu seriously "lekebisha"???wtfembu lekebisha kidogo heading yako watoto wa 2000 ndio maana yake nini sasa?
Kila ilionalo leo lilikuwepo tangu misingi ya dunia hii inaanza. Kila sifa mbaya uliyoiandika kwenye uzi ilikuwepo emzi na kabla ya enzi za kizazi chako. Tafauti inakuja kwenye maeneo mawili tu;Habari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+
Vijana hawa kwa wingi wao wamekuwa na mambo ya hovyo sana ukilinganisha na miaka yetu ya 90s kushuka chini.
Enzi zetu wakati tunakua kwanza kabisa tulikuwa watu wenye nidhamu iliyotukuka,ilikuwa ngumu sana kukuta kijana mvivu anaependa vya bure.
Sasa nilichojifunza ni kwamba,watoto wa 2000 wana tabia kama zifuatazo ambazo ni chafu kabisa kuigwa:
(a)Wanapenda vya dezo,yani hapa wao wanataka mafanikio ya bila kufanya kazi bali wapate wamama ww kuwalea au wapate pesa kwa kubet nk.
(b)hawapendi kusikia mambo ya msingi,hapa wengi wao hupenda yale mambo ya kipuuzi kama vile miziki yenye matusi na ya kuhamasisha ushoga.
(c) Hawana maarifa yani hata wasomi bado ukiwapima uelewa wao ni mdogo bora hata mimi ambaye skusoma.
(d)Hutukana watu waliowazidi umri hasa katika mijadala ni watu wa kubisha bila kuweka hoja,pia hutukana wanapozidiwa na hoja zilizoshiba.
(e) wengi huamini kuwa kila mwanamke hata awe bibi kizee kuwa wanaweza kumpanda na kufanya kila wanachojiskia bila kuzingatia umri.
Nb: waweza kuongeza sifa zingine nyingi kadri uwezavyo,natumai kwenye uzi huu watajazana kwa matusi na maneno ya shombo kitu ambacho kitasadifu ukweli[emoji120][emoji1666]
Aisee
Wabishi balaaHabari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+