Sifa za wateuliwa wa Mungu(choosen one)

Sifa za wateuliwa wa Mungu(choosen one)

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
561
Reaction score
992
Sifa za wateuliwa wa Mungu(choosen one)

1.choosen ni wavunja vifungo vya ukoo au familia, ni watu ambao wanafanya mambo ambayo vizazi vilivyopita awakufanya, choosen wanapita njia za tofauti na wengine

2.Mungu anawatumia choosen one kama kiunganishi au daraja, choosen ni daraja kati ya Mungu na watu wengine.

Mungu ufunua changamoto au matatizo ya wengine kwa choosen ili choosen aweze kuwaombea,

kuwasaidia lakini pia Mungu onesha hatari za mbele za watu hivyo choosen atoe tahadhari na maonyo kwa watu kabla awajapata madhara.

3.choosen ni watu ambao ni ngumu kuwadanganya, kuwalaghai, au kuficha uovu juu yao kabla ujafanya nia ovu juu yao wanakuwa wameshakujua muda mrefu.

Choosen ni watu ambao wanajua tabia za binadamu katika uwezo mkubwa

4.choosen ni watu ambao wanaishi maisha katika uhalisia hii inapelekea kuzungukwa na watu wachache, choosen wote uwa ni ngumu kuishi na watu waongo au fake

5.Choosen ni watu ambao wana linda amani yao na utulivu wao hii inapelekea maisha yao kutopenda maisha yanayo haribu amani yao kama drama, umbeya, chuki, unafiki n.k

6.choosen ni watu ambao wamebarikiwa kuwa na maarifa, hekima na mawazo mbalimbali ambayo wamepata kupitia uzoefu wao wa kimaisha.

7.choosen ni watu ambao wanajua siri nyingi za dunia lakini ni watu ambao wanyenyekevu awataki kuonesha kama wanajua vitu.

8.choosen ni watu ambao wana kazi maalumu ambayo wamepewa na Mungu kutimiza duniani.

9.choosen ni watu ambao awatumii nguvu kuvuta attention kutoka kwa watu wengine, ni watu wenye aura kubwa.

10 choosen ni watu ambao wamepitia hali ya kupoteza kila kitu kwenye maisha yao lakini mioyo yao baada ya kurejea haina visasi, ni watu ambao ni wepesi wa kusamehe.
 
Back
Top Bottom