Hizi ni baadhi ya sifa za watoto wa 2000

Hizi ni baadhi ya sifa za watoto wa 2000

Habari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+

Vijana hawa kwa wingi wao wamekuwa na mambo ya hovyo sana ukilinganisha na miaka yetu ya 90s kushuka chini.

Enzi zetu wakati tunakua kwanza kabisa tulikuwa watu wenye nidhamu iliyotukuka,ilikuwa ngumu sana kukuta kijana mvivu anaependa vya bure.

Sasa nilichojifunza ni kwamba,watoto wa 2000 wana tabia kama zifuatazo ambazo ni chafu kabisa kuigwa:

(a)Wanapenda vya dezo,yani hapa wao wanataka mafanikio ya bila kufanya kazi bali wapate wamama ww kuwalea au wapate pesa kwa kubet nk.

(b)hawapendi kusikia mambo ya msingi,hapa wengi wao hupenda yale mambo ya kipuuzi kama vile miziki yenye matusi na ya kuhamasisha ushoga.

(c) Hawana maarifa yani hata wasomi bado ukiwapima uelewa wao ni mdogo bora hata mimi ambaye skusoma.

(d)Hutukana watu waliowazidi umri hasa katika mijadala ni watu wa kubisha bila kuweka hoja,pia hutukana wanapozidiwa na hoja zilizoshiba.

(e) wengi huamini kuwa kila mwanamke hata awe bibi kizee kuwa wanaweza kumpanda na kufanya kila wanachojiskia bila kuzingatia umri.

Nb: waweza kuongeza sifa zingine nyingi kadri uwezavyo,natumai kwenye uzi huu watajazana kwa matusi na maneno ya shombo kitu ambacho kitasadifu ukweli[emoji120][emoji1666]
Mimi niongezee, maana ni hawa wanetu tumewalea wenyewe kwa hiyo wanaakisi tulichowafundisha

Wazazi tumeacha majukumu yetu ya msingi ya malezi matokeo yake wanalelewa na jamii nzima na huko ndo kuna vurugu na matakata yote

Wazazi tuache kulalama

Tumeyakoroga wenyewe wacha sasa tuyanywe
 
Mimi ninachokijua ni kwamba watu hupenda kunyoshea wengine vidole ili wajisikie vizuri kuhusu hali zao wenyewe.


Defiance is the trademark of youth.(Kiburi ni alama ya ujana.)
Hivi we mshamba umezaliwa mwaka 2000 kweli mbona unaonekana umepevuka sana akili?

Watu wa umri wako ni mapoyoyo sana nawajua. Wewe uko smart sana, how?

Tufunge ndoa.
 
Yanii we dogo saaana, ila uko smart. Hongera.

Nina mdogo wangu wa PILI ndio kazaliwa 2004. Nimemzidi miaka kibao sema anaonekana njemba hatari.

Umri si kitu, natangaza ndoa. Niko tayari kuvumilia yote 🤓
haya nisubiri nimalize shule
 
Back
Top Bottom