MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,607
- 39,390
Watoto wenyewe sasa
Tunaangalia Nidhamu Yao Katika Mazungumzo Tuone Kama Tumefanikwa Kwenye Maleziunakaaje pembeni na hao ni watoto wenu
Chini yake nimewaelezea vizuri ila pia mi si muandishi mzuri kutokana na shule kunipiga chengaembu lekebisha kidogo heading yako watoto wa 2000 ndio maana yake nini sasa?
Unaona wa 95 hajapishana miaka mingi na 2000 basi na wa 90 hajapisha miaka mingi na 95. Kwahiyo 90, 95, 2000 ni wale wale tuEti sisi wa miaka ya 90' 🤡 nimecheka dogo kabisa halafu unajiona mkubwa.
Ndio yale madogo ya 99,98,97,96,95 bila shaka yanayo ona machalii wa 2000s wadogo wakati hata miaka mingi hayaja pishana.
Nyie wote mnanuka maziwa.
Nyie mna mbigu yenu mahali wala hatuna shaka na nyie[emoji1666]Sisi Wa Miaka Ya 60's - 80's Ngoja Tukae Pembeni Kuona Mtanange Wa Vita Ya 90's Na 2000.
Heee kwahiyo ana miaka mi2 sasa?si bado anyonya huyu?
[emoji2357]
20000 punguza zero moja hapo mkuu ndio inakuwa 2000.
Aisee! Msitutenge.watanganyika sio [emoji205]
halafu nyie wa 60s si muunde kagroup kenu Babu maana naskia mmebaki wachache sana kwa mujibu wa sensa ya majuzi [emoji205]
Fact mkuu asante[emoji1666]Wanavaa visendo.
Hawavai viatu vya kufunika
Hawavai mikanda
Wanaonyesha boksa walizozivaa
Wengi kazi yao ni boda boda
Wanapenda ngono kuliko chakula
Wanaogopa UTI ila kuhusu UKIMWI hawajali.
Hawa ni vichwa vigumu sana mkuuNafkili kutoa maoni sio dhambi lakini nikuulize tangu ufanye utafiti wako huu, umeshauri nini au umesaidia nini ili tabia izo zikome?
AiseKapo nilikuta stend ya mabasi hakana ramani kametoka dsm kamesafiri zaidi ya km1000 kamezimiwa sim na jamaa. Kakanifata kakanihadithia mwanzo mwisho ilivyokua nikaona ngoja nikahurumie nikatafuta chumba nikakalaza kesho yake nikakasafirisha kwenda mkoa jirani kwa ndugu yake anavyodai.
Sasa yapita mwezi sasa hv kananisumbua kanataka kurudi eti kalinidanganya huko kalipo sio kwa ndg tena nikwa rafiki yake sasa home hapo wanamhoji maswali anaondoka lini... Upuuzi mtupu sijui vinadhani tunapesa za kuharibu haribu na hali yenyewe ngumu hv. Ila aisee ni kitoto cha 2022 kikisimama kama kimeinama vile aisee ndio maana ndoa zinavunjikaga haya ni majaribu!!
Kila nafsi itaonja mauti kwa zamuwatanganyika sio [emoji205]
halafu nyie wa 60s si muunde kagroup kenu Babu maana naskia mmebaki wachache sana kwa mujibu wa sensa ya majuzi [emoji205]
hahahhahhahhaha da we jamaaa umenivunja mbavuWanavaa visendo.
Hawavai viatu vya kufunika
Hawavai mikanda
Wanaonyesha boksa walizozivaa
Wengi kazi yao ni boda boda
Wanapenda ngono kuliko chakula
Wanaogopa UTI ila kuhusu UKIMWI hawajali.
Kizaz cha maana kilikomea 90s ila kuazia 2000 ni shida mkuuEti sisi wa miaka ya 90' [emoji1782] nimecheka dogo kabisa halafu unajiona mkubwa.
Ndio yale madogo ya 99,98,97,96,95 bila shaka yanayo ona machalii wa 2000s wadogo wakati hata miaka mingi hayaja pishana.
Nyie wote mnanuka maziwa.
Mbona kama apa ulikuwa unazungumzia wanaume tu wakati unazungumzia kizazi au kipindiHabari wadau,huo ni utafiti nilioufanya kwa vijana waliozaliwa miaka ya kuanzia 2000+
Vijana hawa kwa wingi wao wamekuwa na mambo ya hovyo sana ukilinganisha na miaka yetu ya 90s.
Enzi zetu wakati tunakua kwanza kabisa tulikuwa watu wenye nidhamu iliyotukuka,ilikuwa ngumu sana kukuta kijana mvivu anaependa vya bure.
Sasa nilichojifunza ni kwamba,watoto wa 2000 wana tabia kama zifuatazo ambazo ni chafu kabisa kuigwa:
(a)Wanapenda vya dezo,yani hapa wao wanataka mafanikio ya bila kufanya kazi bali wapate wamama ww kuwalea au wapate pesa kwa kubet nk.
(b)hawapendi kusikia mambo ya msingi,hapa wengi wao hupenda yale mambo ya kipuuzi kama vile miziki yenye matusi na ya kuhamasisha ushoga.
(c) Hawana maarifa yani hata wasomi bado ukiwapima uelewa wao ni mdogo bora hata mimi ambaye skusoma.
(d)Hutukana watu waliowazidi umri hasa katika mijadala ni watu wa kubisha bila kuweka hoja,pia hutukana wanapozidiwa na hoja zilizoshiba.
(e) wengi huamini kuwa kila mwanamke hata awe bibi kizee kuwa wanaweza kumpanda na kufanya kila wanachojiskia bila kuzingatia umri.
Nb: waweza kuongeza sifa zingine nyingi kadri uwezavyo,natumai kwenye uzi huu watajazana kwa matusi na maneno ya shombo kitu ambacho kitasadifu ukweli[emoji120][emoji1666]
Jifunze kukwepa mizinga mkuuAaah! Tatizo Tumezoea Kufanya Miamala Ya Kupigwa Vizinga Mkuu.