Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,662
- Thread starter
- #41
Vijana ni me/keMbona kama apa ulikuwa unazungumzia wanaume tu wakati unazungumzia kizazi au kipindi
Vijana ni me/keMbona kama apa ulikuwa unazungumzia wanaume tu wakati unazungumzia kizazi au kipindi
Asant mkuu kwa kutuongezea sifa nyingineWengi huamini njia ya haja kubwa inaweza kutumika kama tundu la kufanyia mapenzi
Sifa ziko mchanganyiko hapo mfano wapenda vya bure,hii ni jinsia zoteMbona kama apa ulikuwa unazungumzia wanaume tu wakati unazungumzia kizazi au kipindi
Kazi tu ni kufeki maishaHawapendi kazi yoyote ile
sio kwa zamu,Kila nafsi itaonja mauti kwa zamu
Sasa miaka mitano ndio miaka mingi upo serious kweli weweUnaona wa 95 hajapishana miaka mingi na 2000 basi na wa 90 hajapisha miaka mingi na 95. Kwahiyo 90, 95, 2000 ni wale wale tu
ni kundi maalumu na muhimu sana kwa historia 🐒Aisee! Msitutenge.
Wote wapuuziKizaz cha maana kilikomea 90s ila kuazia 2000 ni shida mkuu
Yani kizaz kibovu kimeanzia 2000 ila 90 kushuka hawamoSasa miaka mitano ndio miaka mingi upo serious kweli wewe
Kwahiyo wa 80, 85, 90, 95, 2000 wote hawa wanafanana sababu wamepishana miaka 5Sasa miaka mitano ndio miaka mingi upo serious kweli wewe
Sawa[emoji1666]Ukiona anapanda mpaka bibi wazee basi jua mkeo alimuonyesha alivyokuwa anapandwa na vijana.
Mimi ninachokijua ni kwamba watu hupenda kunyoshea wengine vidole ili wajisikie vizuri kuhusu hali zao wenyewe.