anastahili kifungo cha maisha huyo polisi, ukiona mke wako kalala na mtu sijui kwa nini unamfata msela, wa kumfata ni mke wako na kuamua unafanyaje kama ni hela inarudishwa afu asepe, sasa jamaa yeye kosa lake nini? inabidi ujichunguze mara mbili umekosa nini hadi mke wako aende nje, afu kwa nini hujui kuchagua hadi ukamchagua ambaye atakuja kukusaliti baadaye...