Usiseme hivyo wewe, punishment should fit the crime. hapa Ze Polisi ameenda mbali sana aisee.Ndo akome
anastahili kifungo cha maisha huyo polisi, ukiona mke wako kalala na mtu sijui kwa nini unamfata msela, wa kumfata ni mke wako na kuamua unafanyaje kama ni hela inarudishwa afu asepe, sasa jamaa yeye kosa lake nini? inabidi ujichunguze mara mbili umekosa nini hadi mke wako aende nje, afu kwa nini hujui kuchagua hadi ukamchagua ambaye atakuja kukusaliti baadaye...
lakini kwanini jamaa nae atembee na mke wa mtu, hata maandiko yanasema ' kwa ajili ya zinaa, kila mtu awe na mke wake'. Siungi alichofanyiwa jamaa wala sifurahii uzinzi aliokuwa anaufanya jamaa.
Dah! Kutoboana macho nouma mazeeee!
Si angemla tigo tu!