Mkuu kama huyu jamaa ni mzembe mbona wewe sasa hivi hulali kwako unaogopa nini?:smile-big:heeh inawezekana huyu jamaa ni mzembe sana, hadi kutobolewa macho yote mawili?
Pole yake.
Mkuu kama huyu jamaa ni mzembe mbona wewe sasa hivi hulali kwako unaogopa nini?:smile-big:heeh inawezekana huyu jamaa ni mzembe sana, hadi kutobolewa macho yote mawili?
Pole yake.
Mkuu kama huyu jamaa ni mzembe mbona wewe sasa hivi hulali kwako unaogopa nini?:smile-big:
anastahili kifungo cha maisha huyo polisi, ukiona mke wako kalala na mtu sijui kwa nini unamfata msela, wa kumfata ni mke wako na kuamua unafanyaje kama ni hela inarudishwa afu asepe, sasa jamaa yeye kosa lake nini? inabidi ujichunguze mara mbili umekosa nini hadi mke wako aende nje, afu kwa nini hujui kuchagua hadi ukamchagua ambaye atakuja kukusaliti baadaye...
Hakuna fundisho kwa mtu hapo, hajaiutana na watata, unaliwa mke na wewe unatandikwa vilevioe na upolisi wako, jamaa mpole tu huyo... Kumtoboa mtu macho ni kosa la jinai, maswala gani kuharibiana maisha..Alikuwa provoked, fundisho kwenu
Aiseee!! Mke wa wamwezio usicheze naye sumu kabisaaa..