BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Na hizi mbona huzioneshi?
![]()
hii ya vifisadi vichache pale sinza meso palestina.jee kwa watanzania wengi mbezi luis,chanika hali ni hiyo hiyo?
Na hizi mbona huzioneshi?
![]()
loh,hizi kwani bado zipo?
Kha! sasa huyo dogo hapo wa kwanza kushoto picha ya chini anafuatiliaje masomo jamani
Na hizi mbona huzioneshi?
![]()