Hizi ndizo Shule za Bongo. Baab Kubwaa

Hizi ndizo Shule za Bongo. Baab Kubwaa

Maisha bora kwa kila mtanzania ndo tunazidi kuyapata na bado
 
67220_161825253842041_100000437012547_421946_686532_n.jpg


68405_161258213898745_100000437012547_419481_8205957_n.jpg

Hizo Shule wabunge wake wapo kweli? Na wanahudhuria kabisa bungeni na kugonga meza fresh?
 
Miaka 50 ya Uhuru Tumejaribu, Tumezembea, Tukashindwa na tunazidi kurudi nyuma
 
Ndo Tanzania inayozalisha Tanzanite pekee duniani hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom