Hizi ndizo Shule za Bongo. Baab Kubwaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
67220_161825253842041_100000437012547_421946_686532_n.jpg


68405_161258213898745_100000437012547_419481_8205957_n.jpg
 
hao walioinamishwa waweza kuta hata uji wa chumvi
hawajapiga na utakuta kosa ni kuchelewa kutia yimu school
af shule ipo kimara tu posta kati kuna simba chui
na dogo kaamkia shamba lol
 
hao walioinamishwa waweza kuta hata uji wa chumvi
hawajapiga na utakuta kosa ni kuchelewa kutia timu school
af shule ipo umbali wa kimara to post, katikati kuna simba chui

na dogo kaamkia shamba lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hilo galoni ni mradi wa icecream za mwalimu kujikimu wakati akisubiri mshahara uliochakachuliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Shule za Bongo ktk Karne ya 21,





Hii ni Shule ya Msingi Ilala iliyopo Iringa Mjini ni mita 400 tu toka Afisi ya ARASII, ina wanafunzi 685 wanaokaa chini ni 48
 
Hivi shule ambazo zimetuzalishia viongozi na wazazi tulionao leo, zilikuwa vipi ktk adhabu?. Hawakuchapwa?, hawakupewa adhabu?, na kama walipewa zilikuwa za mtindo upi?.
 
na watoto hao ndo wauzaji wenyewe
tehetehetehehe yaani hapo wakisimama wanabeba hilo deli shughuli inaendelea



eam za mwalimu kujikimu wakati akisubiri mshahara uliochakachuliwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom