1. Kumsifia Rais.
2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni,
3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2.
Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo.
Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card.
Usipotekeleza no. 2 huwezi kujipanga kurudi bungeni. YELLOW card.
Kama hatutakuwa serious na NRNE tunatakiwa tuizoee hii hali hadi kipindi cha akina Musukuma na kina Bajaji kiondoke.