Hizi ndio Hazina za JamiiForums

Hizi ndio Hazina za JamiiForums

Habarini Wadau,

Ama kabla ya salamu, Binafsi naipenda Jamii Forum, imenifundisha kupitia members wake

Jamii Forum ina members wengi sana wenye haiba na tabia tofauti.

Humu kuna Waongo, Wapenda sifa, Wajivuni, Wakweli, Wastaarabu, Wakorofi wa maneno n.k

Lakini kuna members karibu kila mchango wao una manufaa kwetu members wengine, aidha michango yao inaburudisha, inatafakarisha au inatufunza jambo

Wenui wa members hawa ni Wakongwe ila pia wanaonekana kuwa na exposure na kufahamu maisha haswa

Kwa namna nyingine unaweza kugundua kuwa wao walienjoy sana maisha tofauti na sisi tuliozaliwa miaka ya karibuni

Nimejaribu kufuatilia michango yao, majibu yao au hata mada zao zimekomaa

Baadhi ya members hao wanaostahili kupewa maua yao ni pamoja na Pascal Mayalla Kiranga Mohamed Said Nyani Ngabu tpaul CHIEF MKWAWA gwakisa n.k

Unaweza kutaja members wengine unaoweza kujifunza mambo flan kutoka kwao
Mshana jr
 
Uliotaja hapo ukimtoa mayala (ambae siamini msimamo wake ) nimepata ya kujifunza kwa kiranga kimaarifa (very uncuth personal behiour) kuna mshana jr huyu namkubali 100% magic power kuna likud (grade )
 
Back
Top Bottom