Hizi ndio Hazina za JamiiForums

Hizi ndio Hazina za JamiiForums

Tuanzishe campaign ya kurudishiwa uzi wetu wa mafichoni kule chini?
Tulianzishaga hiyo kampeni,sijui ilikuwa wapi.
Kaka Max nakumbuka alisema Sheria ya maudhui mitandaoni imekataa.
Ila tulikuwa tunajiachia mahi!!
Aloooooooo.....
 
Da vincci ,Robert Heriel Mtibeli ,Kiranga ,Melki the Storyteller ,@Dr.hayaland ,The greatest of all time ,MshanaJR ,@liqud ,@Dr.mambojambo ,UMUGHAKA ,@rwandamagere ,nawengineo wengi wengi wengi sana that I cannot mention ila jamii forums nikama unapiga story nawatu mnaojuana kumbe hamjuani ,kingine nilichojifunza hapa nivile watu walivyo na exposure ya mambo nawanajua sana hadi unabaki kua mpenzi msomaji tu .hongera kwake @mexence melo kuanzisha jukwaa hili adhimu kabisa.
 
Shukran sana Mkuu
 
Back
Top Bottom