Afta
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 523
- 808
Sikupingi hapaMshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
HAWA NI TUNU wemeshapanda level mwanzo walikuwa hazina Ila leo ni TUNU.
From treasure into ....Tunu
Sikupingi hapaMshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
HAWA NI TUNU wemeshapanda level mwanzo walikuwa hazina Ila leo ni TUNU.
From treasure into ....Tunu
Sasa machawa wa Lumumba MNA mchango gani hapa JF?Bila kumsahau Lucas mwashambwa
Ndege wafananao huruka pamoya.Genta the King salute sana, haha
Yaani wewe unavyopenda kujiona bora humu ndani na wenzako takataka, in real life Mungu akusaidie uwe na maisha bora maana mkikosa nyie ndo mnakuwaga wachawi. Watu waliofanikiwa they are naturally humble. Bitterness haitakusaidia.Sasa machawa wa Lumumba MNA mchango gani hapa JF?
Kwa maoni yangu hiyo ni takataka kabisa.
Ungeongeza kwa maoni yako.Habarini Wadau,
Ama kabla ya salamu, Binafsi naipenda JamiiForums, imenifundisha kupitia members wake
JamiiForums ina members wengi sana wenye haiba na tabia tofauti.
Humu kuna Waongo, Wapenda sifa, Wajivuni, Wakweli, Wastaarabu, Wakorofi wa maneno n.k
Lakini kuna members karibu kila mchango wao una manufaa kwetu members wengine, aidha michango yao inaburudisha, inatafakarisha au inatufunza jambo
Wenui wa members hawa ni Wakongwe ila pia wanaonekana kuwa na exposure na kufahamu maisha haswa
Kwa namna nyingine unaweza kugundua kuwa wao walienjoy sana maisha tofauti na sisi tuliozaliwa miaka ya karibuni
Nimejaribu kufuatilia michango yao, majibu yao au hata mada zao zimekomaa
Baadhi ya members hao wanaostahili kupewa maua yao ni pamoja na Pascal Mayalla Kiranga Mohamed Said Nyani Ngabu tpaul CHIEF MKWAWA gwakisa n.k
Unaweza kutaja members wengine unaoweza kujifunza mambo flan kutoka kwao
Sisi raia tumeamua kukupitisha wewe kuwa tunu ya JF na Tz kwa ujumla, hakika wewe ni mpango wa munguMimi simo kwa mujibu wa mleta uzi
Robert Heriel Mtibeli huyu anajiita taikon
Yes Chief-MkwawaKwa Chief-Mkwawa hujakosea 💪
A.K.A Paul Makonda.Bila kumsahau Lucas mwashambwa
Pamoja sana nakufuatilia FB na hapa jamviniShukran sana kwa utambuzi na kujali waziwazi. Barikiwa sana