Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Angalia kiunga hapo juu kuhusu hizi nafazi za Pan African Postal Union (PAPU) zinaonekana kabisa ni mpunga mrefu maana ni P3 na P4, maombi inabidi yapitie TCRA, hata hivyo tangazo la TCRA halina namna ya kupata infomation za nafasi hizi.
Kila kiunga unachoofya unakutana na kiunga ambacho hakina taarifa yaani viunga vinajirudia vile vile. TCRA wekeni taarifa sawa watu wajue hizo nafasi zinataka mtu kwa sifa gani. Kama ni nafasi za government officer tu msingezipost.