Hizi kero maofisini usiombe

ofisini ndo maala pa kujionesha...mavazi au?
kwa vile mi BM SIO VIKESI MZESHEZI MNILETE VINGINE MALIZENI WENYEWE
asubui baada ya kuingia ofisi kwako mnageuza ofisi nyingine chumba cha sports
baada ya ku fanya kazi za maana kutwa una check ngono tu ofisini
 
Yote cha mtoto,sijawahi kukutana na kero kubwa zaidi ya kuwa na Muha kutoka Kigoma ndani ya ofisi moja............
 
Kero zangu ni nyingi mweeeh....

1. Ofisini kwa boss kuna dustbin, badala ya kutupa makarasi ndani ya dustbin anatupa chini....

2. Boss anakupa kazi kabla hujamaliza anaongeza nyingine na nyingine na nyingine. Mwisho wa siku anaanza kuuluza hii umemaliza wakati alikupa kazi nyingi mfululizo..

3. Boss mwenye GUBU... Full kununa siku nzima, ukimuuliza kitu hakujibu au anakwambia subiri.... Utasubiri mpaka kesho!!!

4. Dah.. Hii kali aisee, jamaa angu mmoja alipata mchongo Kampuni nyingine, na vile walikuwa hawaivi na Boss wake akaamua amchokoze, basi bana hali akijua kuwa parking no. 56 ni ya Boss lakini akawahi akapati kwenye parking ya Boss. Basi boss alivyofika parking akakuta jamaa kapark gari ake, boss akamblock afu akaingiabofisin kwake akatuma email kwa all staff... "A f*u*c*k*i*n*g guy aliyepark kwenye parking yangu akatoe kimkweche chake" jamaa kuona ile email naye akareply "f*u*c*k*i*n*g mwenyewe" afu akaresign 24hrs"
 
Naye alikuwa kero kama boss wake na wote hawana hekima
 
hiyo ofisi yenu siipatii picha

Back
Top Bottom