Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.

Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.

Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!

Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.

Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922

Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Wazungu WASENGEREMA sana!!!
 
Ila tukijitambua ma tukarudi kwenye asili yetu, tukajibali sisi ni wa afrika na mila zetu zilizo njema,(sio zile za kuua albino kwamba ni mkosi kuzaliwa kwenye familia na zingine za namna hiyo) tutajitambua na mambo hayatakua hivi yalivyo.
Uko sahihi.
 
Nini kimewahi kugunduliwa Africa hasa ya chini ya jangwa la Sahara??
Ufuaji wa vyuma. Nilisoma hicho kitu darasa la nne kwenye somo la historia. Hiyo ni gunduzi yetu kutoka kwenye kabila moja ambalo nimelisahau.

Lakini nina uhakika hicho sicho ulichomaanisha. Sababu swali lako likmekaa kwenye angle ile ile ya "kujilingamisha" na gunduzi za Europeans. Swali lako linesema tayari "unaamini" gunduzi za Kiafrika sio "gunduzi kweli" mbele ya "gunduzi" za Ulaya. Au hazipo kabisa kama unavyofikria wewe.

Hili ndio tatizo la Waafrika wengi. Wanauliza matokeo au "results" kama yalivyo, badala ya kuuliza "vyanzo au misingi" ya "matokeo" hayo. Hii ni kosa kwenye swala la kufikiria na kutafuta majibu. Au kwa kiingereza naita "reasoning error."

Kabla ya kudhani Afrika haina gunduzi. Unatakiwa ujue kwamba hakuna kitu kisichotokana na chochote, au "nothing comes from nothing." Kila kitu kina msingi kilichopelekea uwepo wake.

Hiyo ipo hivyo kwa gunguzi vilevile. Na msingi wa gunduzi ni changamoto. Hasa za kimazingira. Utofauti wa changamoto za kimazingira inapelekea kupata gunduzi tofauti. Kiurahisi; gunduzi ni jibu au suluhisho la changamoto fulani. Au kwa kiingereza; inventions are simply the solutions or products of certain problems. Na viwango, wingi na uchache wa changamoto una mahusiano makubwa na viwango, wingi na uchache wa gunduzi.

Afrika na Ulaya ni mabala wawili yenye tofauti kubwa za changamoto za kimazingira zilizopelekea gunduzi tofauti. Na sio kwamba sisi hatuna au hatukuwa na gunduzi, tulikuwa nazo na tukaridhika bali tu zilikuwa ni tofauti na za Ulaya. Na kuzilinganisha ni kosa la kimantiki. Hili sio swali la ndio au hapana bali ni kitu chenye factors nyingi sana.

Kuna mzungu mmoja kule YouTube aliandika kitu kama hichi cha kulinganisha gunduzi za Ulaya kama majengo na The Roman Colosseum na ukosefu wa hivyo vitu Afrika ni ushahidi wa ukosefu wa akili. To say the least, I played that European idiot like the fool he was and showed him who's the true intelligent in the room, he was speechless. I'm sure the others got scared to even engage with my points. It was incredibly fun, dissecting the mind of a European piece by piece.

Anyway, kama kuna kitu hakipo sawa kwenye hiyo deduction, basi yoyote anaweza kunielimisha.
 
Mambo mengine mnawasingizia tu wazungu, we mwaka 2025 hii watu wanakunya barabarani,wanakojoa ukutani,wanatupa taka hovyo! Unadhani hiyo jamii ya watu ina akili timamu
 
Ufuaji wa vyuma. Nilisoma hicho kitu darasa la nne kwenye somo la historia. Hiyo ni gunduzi yetu kutoka kwenye kabila moja ambalo nimelisahau.

Lakini nina uhakika hicho sicho ulichomaanisha. Sababu swali lako likmekaa kwenye angle ile ile ya "kujilingamisha" na gunduzi za Europeans. Swali lako linesema tayari "unaamini" gunduzi za Kiafrika sio "gunduzi kweli" mbele ya "gunduzi" za Ulaya. Au hazipo kabisa kama unavyofikria wewe.

Hili ndio tatizo la Waafrika wengi. Wanauliza matokeo au "results" kama yalivyo, badala ya kuuliza "vyanzo au misingi" ya "matokeo" hayo. Hii ni kosa kwenye swala la kufikiria na kutafuta majibu. Au kwa kiingereza naita "reasoning error."

Kabla ya kudhani Afrika haina gunduzi. Unatakiwa ujue kwamba hakuna kitu kisichotokana na chochote, au "nothing comes from nothing." Kila kitu kina msingi kilichopelekea uwepo wake.

Hiyo ipo hivyo kwa gunguzi vilevile. Na msingi wa gunduzi ni changamoto. Hasa za kimazingira. Utofauti wa changamoto za kimazingira inapelekea kupata gunduzi tofauti. Kiurahisi; gunduzi ni jibu au suluhisho la changamoto fulani. Au kwa kiingereza; inventions are simply the solutions or products of certain problems.

Afrika na Ulaya ni mabala wawili yenye tofauti kubwa za changamoto za kimazingira zilizopelekea gunduzi tofauti. Na sio kwamba sisi hatuna au hatukuwa na gunduzi, tulikuwa nazo bali ni tofauti na za Ulaya. Na kuzilinganisha ni kosa la kimantiki.

Kuna mzungu mmoja kule YouTube aliandika kitu kama hichi cha kulinganisha gunduzi za Ulaya kama majengo na The Roman Colosseum na ukosefu wa hivyo vitu Afrika ni ushahidi wa ukosefu wa akili. To say the least, I played that European idiot like the fool he was and showed him who's the true intelligent in the room, he was speechless. I'm sure the others got scared to even engage with my points. It was incredibly fun, dissecting the mind of a European piece by piece.

Anyway, kama kuna kitu hakipo sawa kwenye hiyo deduction, basi yoyote anaweza kunielimisha.
Ufuaji wa chuma ni wahaya
 
Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.

Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.

Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!

Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.

Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922

Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Angalia nchi ndogo
Liberia wamepewa 45 Aisee
Na maeneo mengn ni zero
 
Hiyo ni Average IQ bado kwa individuals
Ambazo zinatofautiana
 
Ufuaji wa vyuma. Nilisoma hicho kitu darasa la nne kwenye somo la historia. Hiyo ni gunduzi yetu kutoka kwenye kabila moja ambalo nimelisahau.

Lakini nina uhakika hicho sicho ulichomaanisha. Sababu swali lako likmekaa kwenye angle ile ile ya "kujilingamisha" na gunduzi za Europeans. Swali lako linesema tayari "unaamini" gunduzi za Kiafrika sio "gunduzi kweli" mbele ya "gunduzi" za Ulaya. Au hazipo kabisa kama unavyofikria wewe.

Hili ndio tatizo la Waafrika wengi. Wanauliza matokeo au "results" kama yalivyo, badala ya kuuliza "vyanzo au misingi" ya "matokeo" hayo. Hii ni kosa kwenye swala la kufikiria na kutafuta majibu. Au kwa kiingereza naita "reasoning error."

Kabla ya kudhani Afrika haina gunduzi. Unatakiwa ujue kwamba hakuna kitu kisichotokana na chochote, au "nothing comes from nothing." Kila kitu kina msingi kilichopelekea uwepo wake.

Hiyo ipo hivyo kwa gunguzi vilevile. Na msingi wa gunduzi ni changamoto. Hasa za kimazingira. Utofauti wa changamoto za kimazingira inapelekea kupata gunduzi tofauti. Kiurahisi; gunduzi ni jibu au suluhisho la changamoto fulani. Au kwa kiingereza; inventions are simply the solutions or products of certain problems. Na viwango, wingi na uchache wa changamoto una mahusiano makubwa na viwango, wingi na uchache wa gunduzi.

Afrika na Ulaya ni mabala wawili yenye tofauti kubwa za changamoto za kimazingira zilizopelekea gunduzi tofauti. Na sio kwamba sisi hatuna au hatukuwa na gunduzi, tulikuwa nazo na tukaridhika bali tu zilikuwa ni tofauti na za Ulaya. Na kuzilinganisha ni kosa la kimantiki. Hili sio swali la ndio au hapana bali ni kitu chenye factors nyingi sana.

Kuna mzungu mmoja kule YouTube aliandika kitu kama hichi cha kulinganisha gunduzi za Ulaya kama majengo na The Roman Colosseum na ukosefu wa hivyo vitu Afrika ni ushahidi wa ukosefu wa akili. To say the least, I played that European idiot like the fool he was and showed him who's the true intelligent in the room, he was speechless. I'm sure the others got scared to even engage with my points. It was incredibly fun, dissecting the mind of a European piece by piece.

Anyway, kama kuna kitu hakipo sawa kwenye hiyo deduction, basi yoyote anaweza kunielimisha.
Ufuaji wa chuma umefanyika seheme nyingi tofauti na kwa kwa kila jamii kujitegemea(independently) katika mabara yote waliyoishi binadamu, hakuna jibu sahihi la wapi binadumu alianza kazi za uhunzi ila Anatolia Uturuki ndipo inaonekana kama jamii ya mwanzo zaidi katika uhunzi na zana za chuma.

Kuhusu mazingira kuwa tofauti hali iliyowafanya Waafrika kubweteka zaidi kutokana na mazingira yao mepesi naweza kukubaliana na wewe kwa sababu sehemu nyingi zilikofanyika gunduzi za maana mazingira ni magumu(harsh) kulinganisha na sehemu zenye gunduzi chache, mjadala ni kwamba kwa nini Waafrika wameshindwa kugundua chanjo za Malaria na magonjwa mengine ya kitropiki? Kwa nini mpaka leo tunalima na ng'ombe? Mazingira gani unahitaji ufanye ugunduzi wa barabara za mawe na lami kama za Warumi?
 
maelezo yako yanathibitisha IQ ndogo ya muafrika, kwanini tupate validation ya mzungu kuwa sisi tuna IQ ndogo au kubwa? ni nature ya mwanadamu kujivutia kwake, sisi tulitakiwa hao wazungu tuwapuuze tuendelee na maisha yetu ilala tupo bzy kutafuta validation kwao kwa kila kitu.
 
Mbona wewe unajua kuwa sio sawa kuongozwa kwa nidhamu ya woga? Ubasemaje una low IQ na wakati una uelewa kuwa uongozi wa nchi yako haupo sawa. Na sio peke yako Watanzania wengi wanajua kuwa uongozi wa sasa ni very immature
Watu wanaogopa kukosoa kuhofia maisha yao. Na uoga sio low IQ
Wenye low IQ ni hao kina Samia na machawa wake

Uongozi wa sasa sio? Ni lini TZ tuliwahi kuwa na uongozi makini?
 
Viongozi wengi wa Africa Kwa kiasi kikubwa ndio wanawakilisha akili za watu wanaowatawala, angalia hawa viongozi wa CCM Kwa mfano halafu uje upingane na hizi data.

safarini khost - Afghanistan.
 
Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.

Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.

Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!

Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.

Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922

Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Sasa si tupime wenyewe mpaka watupimie wao?
 
Uongozi wa sasa sio? Ni lini TZ tuliwahi kuwa na uongozi makini?
Hahaha mpaka nimeogopa kukujibu. The way ulivyouliza hilo swali inaonesha umekuja kwa shari
Mi sijui mkuu
 
Back
Top Bottom