Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

Vitu vingi wanavyopima haviendani na mwafrika🤣hizo IQ ,GDP ,per capital income ni kuwaonea waafrika tu ..Mifumo wanaanzisha wao ila wanataka watu wote wawe sawa ..Ndio maana wakipima ukubwa wa uume ,bara la Asia linakuwa la mwisho ,hiyo ni asili yao.
Toaninza kwenu basi. Tatizo letu sisi ni kubisha tu. Tungekuabtunabisha halafu tutoe mbadala wa tunachokikataa.
 
Sawa nimekuelewa, huenda sijapata nafasi ya ku socialize sana na jamii, maana kwa kuangalia tu watu wananonizunguka huwa sioni kama wana IQ ndogo.
Ingawa ninaamini hao wanaofanya ufisadi, chuki, wizi, uchawi ni watu wenye IQ ndogo ila siku tukiruhusu kuongozwa na watu wenye IQ kubwa tutaendelea na hao watu Bongo wapo wengi tu, ila hawana mamlaka

Nimeelewa point yako 👍
Jifunze kitu kinaitwa Idiocracy,ni hali ya wajinga kuchukua nafasi za uongozi Wakati wasomi na wenye Uwezo wanapuuzwa,ukiona hayo yanatokea jua kua kizazi hicho IQ mdogo,angalia Tanzania now Waliopo Bungeni,vigezo vya kua mbunge na wimbi la wasanii wa TikTok kutaka kua Wabunge,hiyo haikupi picha tushakua taifa Hilo??nchi hii Gigy money ana ushawishi Kuzidi Dr Hadija Jilala,na hata humjui,..
 
Kipimo cha IQ kinaanzia kwa anaye waongoza. Haina haja yakubishana sana ukweli ndo huo. Siku zote tunaamini kiongoz ndo mwenye maamuzi yote yataifa. So kama ye ndo anamaamuzi yote yataifa maana yake ni mtu timamu na mwenye kujielewa.

Sasa ikiwa nyie ni simba mkaongozwa na kondoo tunaamini wote nikondoo au simba wenye hakili za kondoo. So kabla yakujaji kuhusu nyinyi na IQ zenu angalieni kwanza mwakilishi wenu mana huwawakilisha kwakila kitu. OVER
 
Vitu vingi wanavyopima haviendani na mwafrika🤣hizo IQ ,GDP ,per capital income ni kuwaonea waafrika tu ..Mifumo wanaanzisha wao ila wanataka watu wote wawe sawa ..Ndio maana wakipima ukubwa wa uume ,bara la Asia linakuwa la mwisho ,hiyo ni asili yao.
imekugusa sana. Pole
 
Una Iq kubwa wakati nchi yako choo mnajengewa kwa msaada wa watu wa nje na magoli ya simba na yanga mnatoa pesa zenu mfukoni kuwapa
Hao ni viongozi ndio wanafanya huo upuuzi na viongozi wetu wana IQ ndogo hususani Samia
 
Kipimo cha IQ kinaanzia kwa anaye waongoza. Haina haja yakubishana sana ukweli ndo huo. Siku zote tunaamini kiongoz ndo mwenye maamuzi yote yataifa. So kama ye ndo anamaamuzi yote yataifa maana yake ni mtu timamu na mwenye kujielewa.

Sasa ikiwa nyie ni simba mkaongozwa na kondoo tunaamini wote nikondoo au simba wenye hakili za kondoo. So kabla yakujaji kuhusu nyinyi na IQ zenu angalieni kwanza mwakilishi wenu mana huwawakilisha kwakila kitu. OVER
Kuna siku rais wenu akiwa Marekeni Ikulu akiwa kaenda kuomba omba msaada aliulizwa

Kwa nini nchi yako ni masikini ? Jibu lake lilichekesha kikao. Alijibu sijui kwa nini ni masikini.
 
Ukiangalia Nigeria, Afrika kusini, Zambia, Kongo n.k , kote huko unajilaumu kwa nini hujawa mwanasiasa. Ukiwa mwanasiasa, hutopata mafasi ya kuonesha uwezo wako.
 
Kuna siku rais wenu akiwa Marekeni Ikulu akiwa kaenda kuomba omba msaada aliulizwa

Kwa nini nchi yako ni masikini ? Jibu lake lilichekesha kikao. Alijibu sijui kwa nini ni masikini.
Ni ya kweli haya?
 
Ukiangalia Nigeria, Afrika kusini, Zambia, Kongo n.k , kote huko unajilaumu kwa nini hujawa mwanasiasa. Ukiwa mwanasiasa, hutopata mafasi ya kuonesha uwezo wako.
Tumeharibu sana nchi zetu kupitia uongozi, sisi kama Waafrika
Sijui tunafanyaje kujitoa kwenye hii hali ya madikteta wanaorudisha nyuma taifa ila wanataka kusifiwa tu, ukikosoa unaenda na maji
 
Kinachorudisha Africa nyuma kwa asilimia kubwa ni mambo ya kisiasa kuliko kukosa ubunifu.
Sasahivi tunaishi lifestyle ya wazungu na tunatumia elimu ya wazungu. Baada ya Watanzania wengi kupata elimu maana yake tulitarajia kuanza ubunifu wa kiteknolojia na sisi. (Kwa sasa ni kuendeleza vilivyopo kufanya viwe vitu vingine bora)
Africa ubunifu unafanyika vizuri tu, ukitaka kuona tembelea maonesho ya kiteknolojia yanayofanyika kwenye vyuo vikuu nchini utaona vijana wana idea nyingi sana na unaona kabisa mtu ni intelligent

Shida inakuja kwamba viongozi wa nchi ndio wenye low IQ na wao suala la kupambana na umasikini Tanzania walishakatia tamaa siku nyingi zilizopita, ndio maana vijana wenye ideas wanaishia mtaani au wenye bahati wanachukuliwa na nchi za wazungu

Africa haiendelei kwa sababu watu wasio na akili ndio wanashika madaraka, watu wenye IQ kubwa hawana nguvu kwenye jamii
Wapo viongozi waliojaribu kuweka misingi sawa ila msukumo wa hao wazungu, na uchawa wa ndani ya nchi ulifanya waondoke duniani. Kuna viongozi ambao wana profile kubwa halafu kichwani ni zero.

Kwa nini ni zero? Wameshaingia mikataba na hao wazungu ambaoo akija mtu mwingine hua wanahofia kuvunjwa kwa hiyo mikataba. Mtu akijaribu tu, wanaibuka wapinzani from no where, watapinga kila kitu.

Mfano hapa kwetu Tz, kuna prof mkoja aliwahi kuunga mkono kupinga ujenzi wa bwawa la nyerere la umeme kisa lile ni pori tengefu la kuwinda. Pia ecology itaathirika. Na sababu zingine zingine. Sasa huyo ni profesa. Anashindwa kujua impact ya hilo bwawa katika uchumi, ila anaona ni bora watu wa ulaya na marekani waje kuwinda. Magu akaligeuza kuwa hifadhi ya taifa, na sio pori tena. Waliumia sana na hao hao waafrika watz wakaanza kumgeuka. Hapo akili na IQ kubwa zipo wapi hapa Afrika?
 
Ni ya kweli haya?
Hiyo clip ilikuwepo You tube kioindi hicho baada ya kikao hicho. ntaichek

Ni bora usifuatilie mambo ya nchi hizi zetu za Afrika. Ukiyajua unaweza sema huu umasikini wetu ni halali. Ni bora nitafute mkate wa familia yangu tule tulale tusubiri Mungu akituita kwake Mbinguni.
 
Tumeharibu sana nchi zetu kupitia uongozi, sisi kama Waafrika
Sijui tunafanyaje kujitoa kwenye hii hali ya madikteta wanaorudisha nyuma taifa ila wanataka kusifiwa tu, ukikosoa unaenda na maji

Mi nadhani, ikitokea kiongozi mzalendo angalau kama yule mjomba, pamoja na mapungufu yake, aungwe mkono kwa nguvu. Pia tuwe wanasiasa na sisi katika chama chochote kile ili kuweka upinzani wa mambo kinzani kwa namna yoyote.
 
Kupata kiongozi mzalendo nako sio rahisi kwa nchi kama Tanzania
Nina wasiwasi hata uchaguzi wa mwakaa huu watampitisha Samia tu hata kama watu wengi hawatamchagua
 
Kuna siku rais wenu akiwa Marekeni Ikulu akiwa kaenda kuomba omba msaada aliulizwa

Kwa nini nchi yako ni masikini ? Jibu lake lilichekesha kikao. Alijibu sijui kwa nini ni masikini

Kuna siku rais wenu akiwa Marekeni Ikulu akiwa kaenda kuomba omba msaada aliulizwa

Kwa nini nchi yako ni masikini ? Jibu lake lilichekesha kikao. Alijibu sijui kwa nini ni masikini.
Umaskini wa nchi uko mikononi mwao na kwakua wanajali maslah yao hawezi jua kwanin nchi nimaskini . Afu ndo mdai et mkiambiwa IQ ndogo mnaleta hoja zakujitetea kivp sasa hapo. Kama wanao hawajavaa nguo uulizwe kwanin wanao hawajavaa nguo useme sjui nikwanin hawajavaa. Utakua kichekesho had kesho
 
Back
Top Bottom