MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 655
- 823
Na simu uliyotumia kuandika ujinga wako ni wao ndio wamegundua kila kitu
Haina hata haja ya kutupima yanayofanyika huku Afrika yanatosha kutoa hitimisho la ufinyu na ukufi wa akili wa jamii hiiYoda Sela Son lost files Mizam Fbn
Hivu ni kwamba mimi naishi Tanzania tofauti au, hivi nyinyi huko kwenu au mna hata ndugu zenu ambao wamewahi kupimwa IQ? Au ndo walikuja kuwapima Wahadzabe na Watindiga ndio wakaconclude IQ ya Tanzania?
Sio gunduzi tu, kwanini masikini na hatuwezi kusimamia rasilimali zetu?Kwanini Hadi Leo hatuna maji na vyanzo vipoTaja gunduzi za hao wachache Africa
Kama vKinachorudisha Africa nyuma kwa asilimia kubwa ni mambo ya kisiasa kuliko kukosa ubunifu.
Sasahivi tunaishi lifestyle ya wazungu na tunatumia elimu ya wazungu. Baada ya Watanzania wengi kupata elimu maana yake tulitarajia kuanza ubunifu wa kiteknolojia na sisi. (Kwa sasa ni kuendeleza vilivyopo kufanya viwe vitu vingine bora)
Africa ubunifu unafanyika vizuri tu, ukitaka kuona tembelea maonesho ya kiteknolojia yanayofanyika kwenye vyuo vikuu nchini utaona vijana wana idea nyingi sana na unaona kabisa mtu ni intelligent
Shida inakuja kwamba viongozi wa nchi ndio wenye low IQ na wao suala la kupambana na umasikini Tanzania walishakatia tamaa siku nyingi zilizopita, ndio maana vijana wenye ideas wanaishia mtaani au wenye bahati wanachukuliwa na nchi za wazungu
Africa haiendelei kwa sababu watu wasio na akili ndio wanashika madaraka, watu wenye IQ kubwa hawana nguvu kwenye jamii
Sijui ambacho hujaelewa Nini, mtanzania mmoja Anaweza kuna na IQ kubwa kuliko mtu yeyote duniani,hiyo haifanyi watanzania wengi kua na Uwezo mkubwa wa kufikiria..Yoda Sela Son lost files Mizam Fbn
Hivu ni kwamba mimi naishi Tanzania tofauti au, hivi nyinyi huko kwenu au mna hata ndugu zenu ambao wamewahi kupimwa IQ? Au ndo walikuja kuwapima Wahadzabe na Watindiga ndio wakaconclude IQ ya Tanzania?
DUNIA INATUMIA NGUVU SANA KUIFANYA AFRIKA IJIONE NYONGEHizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.
Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.
Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!
Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.
Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922
Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Yale yaleee kwamba sisi tulikuwa nyani mama zao wanashiiirwaHizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.
Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.
Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!
Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.
Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922
Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Sasa wewe na nyani una utofauti gani ?Yale yaleee kwamba sisi tulikuwa nyani mama zao wanashiiirwa
Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.
Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.
Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!
Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.
Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922
Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Lakini umuhimu wa hizi data ni nini?Hakuna la maana uliloandika. Unadhihirisha IQ yako ilipo. Yaani unalinganisha uwezo wa kusolve geometry na kujua harufu ya mimea! Kama uwezo wa kunusa na kutambua mimea ndiyo kipimo chako cha IQ, basi nguruwe, fisi, ng'ombe ana IQ kukuzidi wewe maana yeye anaingia porini bila ya kufundishwa na yeyote, lakini kwa kunusa anajua ale mmea gani ambao ni salama na asile kitu gani ambacho kitamdhuru.
Hao watu wenye high IQ kiasi cha kupandisha average IQ ya mwafrika wapo wapi. Hawa akina Mwashambwa na akina Tlaatlah? Au hao wanaoteka na kuua wanaowakosoa? Au hao wenye akili ya kubaka haki za watu ili kutetea matumbo yao?
Kwa kweli Afrika, hata bila ya vipimo maalum imejaa watu wenye IQ ndogo sana. Hulka ya IQ ndogo ni kuwa na tabia zinazokaribiana na wanyama, na wanyama hupenda zaidi kutumia nguvu kuliko akili, na wala hawana hekima, na mwongozo wao ni 'mwenye nguvu ndiye ale", jambo linapendwa na kufanywa sana na Waafrika, hata watawala wao ndivyo walivyo. Ndiyo maana unaona watawala wa hapa kwetu wanateka, wanaua, wanakamata watu hovyo, wanadhulumu haki za watu hovyo! Hiyo ni tabia ya wanyama, inayoashiria uwezo mdogo wa akili. Lakini watu wenye high IQ, huongozwa na ustaarabu ule wa kutambua kuwa huyu ni mwanadamu mwenzangu.
Kwahiyo Chad wako njema kuliko sisi 😂😂😂😂Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.
Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.
Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!
Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.
Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922
Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Sawa nimekuelewa, huenda sijapata nafasi ya ku socialize sana na jamii, maana kwa kuangalia tu watu wananonizunguka huwa sioni kama wana IQ ndogo.Sio gunduzi tu, kwanini masikini na hatuwezi kusimamia rasilimali zetu?Kwanini Hadi Leo hatuna maji na vyanzo vipo
Kama v
Sijui ambacho hujaelewa Nini, mtanzania mmoja Anaweza kuna na IQ kubwa kuliko mtu yeyote duniani,hiyo haifanyi watanzania wengi kua na Uwezo mkubwa wa kufikiria..
Wachache kua vizuri haifanyi wote kua vizurii and vice versa,low minded people wapo Kila mahala,ila Kwa ujumla wake tutapima Uwezo wa jamii Fulani Kwa vile wanavyoishi,Sanaa Yao, Utamaduni, Lugha, Elimu,Afya,Vifo,Music na Maendeleo,hivyo ndio vinatofautisha jamii ya wajinga na wenye Akili..
Kama umetembea maeneo ya masikini wa mwisho kabisa Tanzania,halafu ukatembea suburban areas za Tanzania kama Masaki,then tembea maeneo ya watu masikini Chicago,halafu tembelea Hollywood,.utapata picha...
Ufisadi,chuki,roho mbaya,ufinywaji wa haki,wizi,uchawi yote matokeo ya akili ndogo,..na kumbuka hii haiusiani na KUFAULU DARASANI...
Pia nakubaliana na wewe kuwa Lucas Mwashambwa ni chawa ana low IQ na nina wasiwasi ni upinde piaHakuna la maana uliloandika. Unadhihirisha IQ yako ilipo. Yaani unalinganisha uwezo wa kusolve geometry na kujua harufu ya mimea! Kama uwezo wa kunusa na kutambua mimea ndiyo kipimo chako cha IQ, basi nguruwe, fisi, ng'ombe ana IQ kukuzidi wewe maana yeye anaingia porini bila ya kufundishwa na yeyote, lakini kwa kunusa anajua ale mmea gani ambao ni salama na asile kitu gani ambacho kitamdhuru.