Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.

Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.

Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!

Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.

Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922

Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Kama average ya IQ ndo hiyo hili ni bara la mataahira. Hebu leta average ya mabara yote tuone.
 
Umaskini wa nchi uko mikononi mwao na kwakua wanajali maslah yao hawezi jua kwanin nchi nimaskini . Afu ndo mdai et mkiambiwa IQ ndogo mnaleta hoja zakujitetea kivp sasa hapo. Kama wanao hawajavaa nguo uulizwe kwanin wanao hawajavaa nguo useme sjui nikwanin hawajavaa. Utakua kichekesho had kesho
Kaka kasheshe sana. Mi hua naamini inawezekana majority ya Africans ni low IQ halafu wazungu minority wao ndio low IQ.

Hiv nchi kama Japani, rais wao anaweza uza rasilimali za nchi na wananchi wakawa kimya, yaan afanye uovu wa marais wetu hawa na nchi itulie kweli?

Mfano Rusia, toka enzi na enzi miaka ya 1200 huko wanapigana kukuza empire yao. Ni wababe wa kutengeneza siraha. Leo uje useme wamependelewa et Africans tupo vizuri.

Hata Choo cha shule tu kujenga tunaona hatuwezi. Bandari mmeongwza kina kwa kutumia ma bilioni ya pesa yenu halafu mmemaliza mnamuita muwekezaji et sisi hatuwez kusimamia.l, tunajali utu.

Utu bila uwajibilaji? Uusitumbuliwe kisa utu? Aisee! Tukubaki tu kwamba majority ya Africans ni Low minded peole. Tusijiringanishe na Wazungu kabisa.
 
Wao wenyewe wanakausemi kao kwamba

Ukimpa muafrika bunduki, atampiga muafrika mwenzake.
 
Kaka kasheshe sana. Mi hua naamini inawezekana majority ya Africans ni low IQ halafu wazungu minority wao ndio low IQ.

Hiv nchi kama Japani, rais wao anaweza uza rasilimali za nchi na wananchi wakawa kimya, yaan afanye uovu wa marais wetu hawa na nchi itulie kweli?

Mfano Rusia, toka enzi na enzi miaka ya 1200 huko wanapigana kukuza empire yao. Ni wababe wa kutengeneza siraha. Leo uje useme wamependelewa et Africans tupo vizuri.

Hata Choo cha shule tu kujenga tunaona hatuwezi. Bandari mmeongwza kina kwa kutumia ma bilioni ya pesa yenu halafu mmemaliza mnamuita muwekezaji et sisi hatuwez kusimamia.l, tunajali utu.

Utu bila uwajibilaji? Uusitumbuliwe kisa utu? Aisee! Tukubaki tu kwamba majority ya Africans ni Low minded peole. Tusijiringanishe na Wazungu kabisa.
Yaaan umeongea vema sana. Tanzania na Africa kwa ujumla hatwezi jilinganisha na wazungu ikiwa kila kitu tutamwachia Mungu. Et tunasema tuilinde tu amani , amani ya woga na usaliti wa nchi. Utu ninini ? Ukiutafsiri utu unaweza jua unamaanisha nini? . Wala hapa hatulindi utu bali woga wa vitendo pamoja kufikir.

Yaaaan hata sishangai tukionekana wajinga mana ndo ukweli na hatwezi pingana nao. Wako wachache wenye high IQ ila wamemeza na lundo la tik tolk members of funny for everything. Tanzania hatuna chochote chakujitetea nacho kuanzia fikra had vitendo bado sana yapaswa tuamke. Kuna muda napata hasira sana ndani ya nchi yangu ila wakati huu twacheka ila vip kuhusu watoto wetu kesho watatulaan sana
 
Mbona wewe unajua kuwa sio sawa kuongozwa kwa nidhamu ya woga? Ubasemaje una low IQ na wakati una uelewa kuwa uongozi wa nchi yako haupo sawa. Na sio peke yako Watanzania wengi wanajua kuwa uongozi wa sasa ni very immature
Watu wanaogopa kukosoa kuhofia maisha yao. Na uoga sio low IQ
Wenye low IQ ni hao kina Samia na machawa wake
 
Kuna kujua pia kuna kuchukua hatua. Wachache sana ndo wana IQ kubwa ila huenda asilimia kubwa ni low IQ na kumbuka msemo wa Nyerere wengi wapewe.

Sawa me najua kua uongoz siwahak ila kujua hilo bado hakuzibitish nina IQ kubwa maana kuna watu wanajua hivyo ila nikwasababu ya kusikia sikia mambo kutoka kwa wengine .

Tazama mtu mweusi hasa ambaye yupo baran Africa kuanzia makaz,malazi.miundombinu,mifumo mpaka mazingira . Kuhusu utawala na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kuhusu kuipambania kesho yetu na wengine kwa ujumla . Angalia katika tasnia ya uigizaji had jinsi ya kucheza na kamera pia ubunifu na ku act kitu kitakacho pendwa kidunia vyote vina aksi nini kuhusu IQ ya mwafrika. Kila kitu kwetu ni msaada kutoka nnje. Ukiwa na uwezo wakujua kua jambo hili ni baya na ukashindwa kulifanya liwe jema either kwa woga au kwakukosa maarifa basi IQ yako ni ndogo. Yaaani nisawa na kusukuma ukuta siku zima bila mafanikio afu useme work done hutoeleweka kua unajitosheleza.
 
Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.

Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.

Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!

Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.

Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922

Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Haku ya wanasiasa na siasa za muafrika zinaakisi IQ level ya mtu mweusi

Statistics zinaweza zisiwe correct but not too far from truth
 
Yeah sasahivi nimeanza kuelewa
Data hazipo sahihi, ila inawezekana pia hazipo mbali na ukweli
Nina uhakika hata huyu Mama Abduli wa Kizimkazi wakiamua wampime IQ utakuta ina range 45 hadi 50
 
Kuna kujua pia kuna kuchukua hatua. Wachache sana ndo wana IQ kubwa ila huenda asilimia kubwa ni low IQ na kumbuka msemo wa Nyerere wengi wapewe.

Sawa me najua kua uongoz siwahak ila kujua hilo bado hakuzibitish nina IQ kubwa maana kuna watu wanajua hivyo ila nikwasababu ya kusikia sikia mambo kutoka kwa wengine .

Tazama mtu mweusi hasa ambaye yupo baran Africa kuanzia makaz,malazi.miundombinu,mifumo mpaka mazingira . Kuhusu utawala na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kuhusu kuipambania kesho yetu na wengine kwa ujumla . Angalia katika tasnia ya uigizaji had jinsi ya kucheza na kamera pia ubunifu na ku act kitu kitakacho pendwa kidunia vyote vina aksi nini kuhusu IQ ya mwafrika. Kila kitu kwetu ni msaada kutoka nnje. Ukiwa na uwezo wakujua kua jambo hili ni baya na ukashindwa kulifanya liwe jema either kwa woga au kwakukosa maarifa basi IQ yako ni ndogo. Yaaani nisawa na kusukuma ukuta siku zima bila mafanikio afu useme work done hutoeleweka kua unajitosheleza.
Ni kwamba, ikitokea kiongozi akawa mwerevu, atakua kiongozi mwerevu katika wajinga wengi. Hawatamvumilia watamuona kichaa.

Nakumbuka enzi za Jiwe walimpa majina mengi sana. Ila focus yake katika taifa ilikua ni kujenga taifa lenye kujutegemea. Baada ya yeye watu waliojaribu kuzungumza hilo walifichwa.

Kuomba misaada ndio tija yetu. Tunaogopa kufanya mabaliko yanayotuwezesha kujitegemea kwa kuhofia hao wazungu. Wao wanatushangaa sana kua inakuwaje binadamu mwenye akili timamu anakubali hili. Mikataba tunayosaini sisi wa Afrika katika rasilimali zetu ni za ajabu ajabu tu.

Siku moja Trump aliwahi kusema ‘Afrika bado hawajitambui. Inabidi watawaliwe tena kwa miaka 100’ Alitoa data za kuonesha kweli hatujielewi hoka zake ilikua ninpamoja na aina ya mikataba tunayosaini, watawala kuiba Afrika na kuficha kwao, kwamba wakifa zile pesa hua zinabaki huko huko hazirudi Afrika kwa sababu zinakua hazina mwenyewe na justification ya kuzirudisha.

Ni kama saiz Tz yetu, walioshikilia madaraka ndio hao, unategea maendeleo ya kweli katika uongozi wa namna hii?

Histori inatuambia kua, Ujerumani ilipigana na Ulaya nzima isipokua England enzi za vita kuu ya pili ya dunia. Washirika wake kina Hungary, Italy walitepeta mapema sana. Pia Ujerumani hiyo ilipigwa vita kuu ya kwanza na kusalim Amri, kitu kilochpelekea kunyag’wanywa makoloninyake ikiwemo Tanganyika. Ujerumani ilipatanuwezo wa kuanzisha vita bada ya vita kuu ya kwanza ndani ya muda wa miaka 5.

Sasa sisi kila kukicha et Vita ya Kagera ilituyumbisha hadi viwanda vikafa.

Ukweli ninkwamba high IQ people walia hia ngazi na low Iq people wakashika uongozi. Kufuja mali za asili nankugawa viwanda na baadae wanaandika vitabu kujutia. Inasaidia nini?
 
Tanzania kujitambua bado sana mana hata kama watu wana IQ ila hatwoni zimefanya nin zitakua na faida gan sasa?. So low IQ ndo level zetu yan nisawa na kua na nguo afu ujisifu huku unatembea uchi sasa nguo zitakua nafaida gan kwako?
 
Hizi IQ tests zimefanywa kwa upendeleo tu na kuziwekea nchi za kizungu namba kubwa kwenye IQ tests ili tuzidi kuwaona ni superior, hii ndio tabia za hawa watu weupe.

Vipimo vya IQ vilivuofanywa na Wechsler Adult Intelligence Scale (WAIS) na Stanford Binet Intelligence Scales vyote vimefanyika katika nchi za Magharibi huko na sisi hata hatukuhusika kwenye upimaji.

Kwa hiyo mtoto anayetoka kijiji cha Rukungiri, Uganda, ambaye anaweza kutambua mimea 50 tofauti kwa harufu, na anaweza kufuatilia mbuzi, ng'ombe, na kondoo usiku wa giza totoro pasipo umeme, na pia anasimulia hadithi kwa ufasaha katika lugha yake ya asili, wanamconsider ana akili pungufu kuliko mtoto wa Ulaya anayesolve Geometry kwenye karatasi huko Copenhagen, Denmark?
Nonsense!

Inaonekana hivi vipimo vyao vya IQ havipimi stadi za maisha, ubunifu, uelewa wa mambo, au hekima, ila vinapima uwezo wako wa kusolve mafumbo au maarifa yenye asili ya Kizungu, ila ukiwa na maarifa ya Kiafrika basi una IQ ndogo Huu ni upuuzi mtupu, ambao umevikwa joho la data na kulemewa na wakoloni wa kizungu tu.
Ni kama vile kipimajoto kilichotengenezwa wakati wa baridi kali kinachopima joto la jua la kitropiki.

Bara la Africa lote wameweka kuwa waty wake tuna IQ ndogo
Kila nchi ya Africa iko na below average IQ
View attachment 3418922

Waafrika tusikubali kuamini kila upuuzi wa wazungu ambao wenyewe wanaita research.
Research kama hizi zinalenga kuwafanya Waafrika wajihisi inferior mbele ya wazungu na wamefanikiwa kiasi kwa baadhi ya watu. Ila mimi nawashauri kama mna watoto wenu msiwaaminishe kuwa wazungu wana akili kuliko sisi, mindset kama hizi ndio zinafanya tusiendelee
Ukiamini kuwa wewe ni mbumbumbu mwisho utakuwa mbumbumbu kweli
Zina ukweli kwani zimetokana na viongozi wetu kupenda sana machawa, mikopo na misaada.
 
Unawabishia tu Bure mkuu. Na ubishani huyo wako kwa jambo hili maoni yangu yanasema unabisha bila hoja. Huku hakuna kitu man. Ni aibu kujilinganisha na wazungu au wamagharibi. Wale wako mbali sana. Kuamini kwamba Afrika tuna vijana wenye iq kubwa kuzidi wale ni kuusaliti ukweli kwamba licha ya kuwa tuna miaka 50+ ya uhuru hatuna Cha kujivunia kwenye ishu za kiteknolojia, jeshi, siasa na uchumi.
Tumeendelea kuwa walewale chini ya kivuli Cha maendeleo ya wazungu. Tukiletewa simu janja basi tunakumbilia hata Mimi wakati hizi simu tulitakiwi tuzijenge hapahapa nyumbani.
Wale wanaonekana kuwa Bora kia Kili katika teknolojia za utabibu, bunifu mbalimbali, kijeshi na kiuchumi hukumbana na vikwazo maelfu vya kufikia malengo.
Lazima tuukubali ukweli huu kwamba Bado tupo nyuma na hizo data hata kama za uongo tulete zetu.
Walioleta tunakosoa wakati hatujawahi hata kuwaza kuleta data zetu juu ya hili
Akili mgando ninyi ndo wale mnao amini kuwa babu na bibi zenu waliotangulia ni mapepo mzimu na mashetani ila babu na bibi za wazungu ni watakatifu.Amka kutoka usingizi mzito uliolazwa na hao usema wana iQ kubwa.
 
Sema na sisi wafrika tumezid hata stick za kwenye meno tunaagiza chin
Akili mgando ninyi ndo wale mnao amini kuwa babu na bibi zenu waliotangulia ni mapepo mzimu na mashetani ila babu na bibi za wazungu ni watakatifu.Amka kutoka usingizi mzito uliolazwa na hao usema wana iQ kubwa.
Watu wanaamua kusema hivyo kulingana na hayo uliyosema.

Pita mtaani, uliza mtu wa kawaida. Je kutambikia mizimu ni dhambi kwa Mungu? Atakujibu ndio ni dhambi. Ukimuuliza kwa nini? Atakwambiankanisani na biblia haitanbui Mizimu. Ukimuuliza tofauti kati ya Mzimu na Malaika ni nini? Atakujibu kama ulivyoandika hapo, ni mapepo machafu, shetani n.k.

Huku kwetu kuna babu angu alikua ananambia kua, kila mtu anamzimu wake wa kumlinda, na kanisani katoliki wanasema kila mtu ana malaika mlimzi wake. Sasa hapo kwenye uelewa vyote ni sawa. Ila wangapi wanalielewa hilo? Leo ukimuita mwanao jina la kibantu watakwambia limepitwa na wakati na unakatibisha mtu aridhi ya mwenye jina na ukimuuliza ina maana baba yangu au mama yangu ni muovu tu hana mazuri? Hatokujibu (Hii ni idadi kubwa sana ya watu). Ila ukimuuliza kwa nini wao wazungu hawaitwi majina yetu ila sisi tunajiita ya kwako? Hawatokujibu.

Ndio maana tunasema IQ za kiafrika ni ndogo kuliko za hao wazungu kwa sababu wameweza kushawishi wengi kujikataa, na kujiona wao sio kitu na sio chochote.
 
Ila tukijitambua ma tukarudi kwenye asili yetu, tukajibali sisi ni wa afrika na mila zetu zilizo njema,(sio zile za kuua albino kwamba ni mkosi kuzaliwa kwenye familia na zingine za namna hiyo) tutajitambua na mambo hayatakua hivi yalivyo.
 
Back
Top Bottom