Hizi biashara zake za Dubai zinanipa mashaka sana

Hizi biashara zake za Dubai zinanipa mashaka sana

Ukitaka uinjoi Mapenzi basi we JITOE UFAHAMU TU...Ishi kama hakuna LOGIC duniani na usijiulize-ulize maswali kutaka kuchambua SITUATIONS na kujaribu kutumia Akili kwenye Mapenzi... Ukitaka kutumia Akili nenda kawe Mwanasayansi utusaidie Kuvumbua Dawa za Surua na Pepopunda... Ukiwa Penzini au Ukiwa unataka kuingia Penzini kaziache akili zako LABORATORY zisaidie kukuza minyoo...

Kila mtu anataka MPENZI WA PEKE YAKE lakini kila mpenzi unayegusa unakuta JAMAA WALIPITAGA ZAMANI na hawana idadi...Na ukijifanya kutumia AKILI kumuuliza"Umewahi kulala na Wanaume wangapi before me", Jibu lao huwa ni rahisi kweli...."Wawili tu yaani we ndo wa 3", Wakati kumbe wewe ni kijamaa cha 54... Ana MAEX 53... Mtu ana MAEX 53 atakuwaje MPENZI WA PEKE YAKO??? Ina maana wewe ndo unasugua na Steel Wire au??

Kashaguswa na kila type, Pingili za Mihogo, Ndizi Kisukari,Tango,Tambi ya Jiko, Kinukta, Mnara wa Simu, Dudukila, na kila type na LAZIMA mmoja kati ya hawa MAEX alimfeel sana japo IT DIDNT WORK OUT wakaachana ingawa deep down wana feelings za kimyakimya... Kuambiwa wewe UNAPENDWA haimaanishi hamna EX ambaye kila akimuona ANALOWANA! Na MAEX wengine hawana huruma, hata wasipoonana Miaka 2, siku wakikutana

ANALOWA jamaa anapitisha Dekio,na atarudi home atakutext, "I love you babe mi ndo nalala, Nakupenda sana"
Ukiamua kupenda WE PENDA TU, ila ukitaka kujua yanayojiri ndani ya Penzi lako UTAWEKEWA DRIPU BURE... Shkamoo wewe hapo ambaye EX WAKO WA 36 kila mkikutana lazima mpashe kiporo japo unampenda mmeo.. Shkamoo Sana...Mapenzi matamu sana!

Mdau umevunja
 
Ulishawahi kujaribu kumpiga 0713? Embu jaribu siku moja afu uje na mrejesho tukuambie kama umuoe au laa!!
 
Tih tih tih..... Umenena vyema
 
Ahaaaaa mbavu zangu jamani eti mautundu kayajulia wap? Jamani wanaume hamna haya asipojishuhulisha mnasema mzembe akijishuhulisha malaya da wanaume mama yenu mmoja.
 
Kamaa nilivyo muelewaaa
Mimi sioni tatizo kama bint amekubaliii hayoo mambo alikua anayafanya zamani basss wee fanya uchunguzi wakoo ukijirithisha wewe na nafsi yakoo utaaamua kumuoaa au kumwachaaaa…
Pilii mimi naona bint hukoo serious coz kashasemaa anataka kua settle mjengee family
Usiweee mwepesii kuona kibanzi cha mwenzako wakati wewepiaa una boriti I mean that hata wewe umeshalala na wakeee kibao..

Meku jasiri haachi asili huyo kashazoea hiyo tabia
 
Dah vyuma vizito huwezi kuviacha,amekulogea hapo tu ndani vyumani
 
caxton

Ukweli ni kwamba, usimuache msichana peke yake katika safari hizo hata kama kaacha, huko kuna ibilikisi mkubwa, nimepata case nyingi sana kama yako, wanawake wanapatiwa kamtaji kidogo ili wasafiri, wakifika njee na hao walio wainua, wanawafumua vibaya sana, wakati Mwengine unaweza kujiuliza, hio biashara ana pata bei gani? Wakati anakuja na bag mbili tu za kilo 40, toa gharama za ticket na hotel?

Utakuta anakwenda huko kutembea tu, sasa hio ni kazi kwako, nakupa ushauri mmoja tu just exam, mwache huyo bint asafiri, kama una uwezo akifika dubai, na wewe next day upo dubai surprise, mpigie simu muulize hotel gani upo ujoin nae, utapata majibu,
 
Last edited by a moderator:
Aha ha kweliii meku kamaa ni hivyoo basss atemeee huoo mzigoo coz atakuja kujilaumu badayeee…

Meku mahusiano yasiyokua na amani rohoni mwako utaishi n mawazo hata akichelewa kurudi hom wewe full stress sasa ya nini kua na mtu wa hivyo
 
Let past be past, huyo rafik yako ni wvu tu unamsumbua na bado anamtaka huyo mdada..
 
Atamuachaje na shughuli anayopewa kitandani si mchezo??? Chezea kulia

Sasa tukusaidie usilie kitandani au tukusaidie umuache vipi?

ungekuwa wa kumuacha ungeshamuacha kabla ya kuleta thread hapa

the fact hujamuacha now....inaonesha hutaki kumuacha......
 
A person is not guilty until proved.
1.Huna ushahidi wowote wa kukufanya umuone hafai.
2. Ameamua kuwa muwazi kwako.
Nini kingine unataka?
Kama una mashaka next time umfatilie uone akifika huko analala wapi na anafanya nini...
 
Tatizo waafrika ukweli hatupendi kuusikia' ulitaka akufariji kwa kukanusha yale uliyoyasikia na hakufanya hivyo. Huyo mtu anajielewa kwa sasa ndio maana kakueleza ukweli. Umepewa mpiko wa kiwango cha juu unasema ameyajuaje!!! Ungepewa wa kiwango cha chini ungelalama!!! Ubinadamu shida
 
du! haombi pesa
kajijenga
kwao tanga
fundi kwa bedi
dubai
waarabu
mzuri sana
kidato cha nne...
changanya na zako kaka
 
Sasa wakati umefika wewe kuwa na maamzi sahihi hakuna kitu kibaya kukosea kuoa maisha yako yote utajuta...kuwa mzuri on bed hakumaanishi wewe uwehuke umuoe wakati unajua fika itakugharimu lamsingi wewe follow your heart nimekutaadharisha nini ufanye usiingie matatizoni kwa ajili ya mauno! Kifupi wanawake wauza mzigo kutoka ughaibuni wanatumika sana labda na wewe uingie kwenye hiyo biashara ndo utadhibiti. Bottom line.
 
Back
Top Bottom