Hizi biashara zake za Dubai zinanipa mashaka sana

Hizi biashara zake za Dubai zinanipa mashaka sana

Sawa mkuu, lakini mbona hawaombi ushauri wanapotaka kuanzisha uhusiano? Mambo yanapokwenda kombo ndiyo wanaomba ushauri.Au wanadhani wakiomba ushauri kabla tutawakatisha tamaa?
Mkuu.. kweli umenichekesha....!! wanaume tunapenda kufanya mambo yetu kwa siri !! Sasa tunapo kutana na matope huko ndo twatafuta short cut !!! hiyo nature yetu...
 
heheheheheheh,

kula raha kijana, mengine yatajulikana baadae 4month unaanza panga kuoa
 
Mkuu kwanza mshukuru Mungu umepita mote humo ulimopita bila ya magonjwa ama usumbufu mwengine mkubwa, Mungu alikuwa anakuhifadhi sana na sasa ni zamu yako kumshukuru na kujinasua na maisha ya uzinzi.

Nakushauri fata taratibu na kisha oa huyu mdada tena fanya fasta mkuu, usisubiri hadi upate mamilioni wewe oa tu, jinsi siku zitakavyokwenda taratibu mfunze mke wako awe mke mwema na Mungu atakurizia sana, fanya fasta
 
usije ukaruhusu mkeo au demu wako aende china au dubai kule ni full kujiuza kuna wake za watu wengi wanaenda kule kuchukua mzigo anakaa mwezi kwanza kuuza k akipata hela ndio anarudi haya nimeyashuhudia mwenyewe guazhou china wafrika full kujiuza kwa nite ni dola 100 hadi 50 ...

.hapo guazhou kumejaa wafrika balaa wengi wake za watu wabongo ndio usiseme kwa hio biashara wateja wakubwa ni wanigeria.......china maisha yao yapo chini sana hasa guanzhou ambako lipo soko kubwa la wafrika ..

....accomadation ni rahisi sana kuliko hata bongo pamoja na msosi tatizo ni hela ya mzigo na nauli ..hapo ndio hupelekea dada zetu wengi kujiuza ili arudi bongo na zigo la maana ..

Hii ni kweli kabisa
 
Duh, jukwaa hili na Celebrity hoja zao ni tata siku zote. Kaka kizuri kula na wenzako kwa sababu hicho ni chenu wote. Kwa kuwa tayari unayo mabaya yake, ukimuoa itakusumbua sana kila akiomba kusafiri nje ya nchi. Bora usingejua chochote ungekuwa na amani.
 
Wewe mwenyewe unakiri umewagonga wengi sasa ulitaka umkute bikra. Nyote nizilipendwa sema Wewe ni kibongo bongo yeye kidubai dubai Yale yale. Maujuzi yake yasikutishe nikipaji. Kama unauakika anakupenda huyo ndo wakuoa kama hakupendi kimbia faster utoke hapo.
 
Freaked out by a freak huh, thought we all wanted one!?

Anyway, cha muhimu alikiri hizo tuhuma, ambapo alikuwa na option ya kukana pia. Kama hakufanya wala hafanyi tena tangu mmekuwa pamoja, then sioni tatizo.
 
Angekuwa mchovu kitandani ungelalamika "mrembo mchovu kitandani". Tafuta mma ufungue mwenyewe utakuwa huna wasiwasi na watu waliowahi kumpitia.....baadhi ya wanaume ndivyo walivyo!!
 
Hahahaaa! Jamaa (mlete Maada) Kanifurahisha Sana

At Inafikia Sehem Ustarabu Unamshonda Inabidi2 Aanze Kulia! Hahahahahahahahhahahahahhaahahahaaa
 
Kamanda Hebu nitumie namba yake nihakikishe kama ni yeye, maana mademu wanaokwenda dubai wengi nawajua
 
Ukitaka uinjoi Mapenzi basi we JITOE UFAHAMU TU...Ishi kama hakuna LOGIC duniani na usijiulize-ulize maswali kutaka kuchambua SITUATIONS na kujaribu kutumia Akili kwenye Mapenzi... Ukitaka kutumia Akili nenda kawe Mwanasayansi utusaidie Kuvumbua Dawa za Surua na Pepopunda... Ukiwa Penzini au Ukiwa unataka kuingia Penzini kaziache akili zako LABORATORY zisaidie kukuza minyoo...

Kila mtu anataka MPENZI WA PEKE YAKE lakini kila mpenzi unayegusa unakuta JAMAA WALIPITAGA ZAMANI na hawana idadi...Na ukijifanya kutumia AKILI kumuuliza"Umewahi kulala na Wanaume wangapi before me", Jibu lao huwa ni rahisi kweli...."Wawili tu yaani we ndo wa 3", Wakati kumbe wewe ni kijamaa cha 54... Ana MAEX 53... Mtu ana MAEX 53 atakuwaje MPENZI WA PEKE YAKO??? Ina maana wewe ndo unasugua na Steel Wire au??

Kashaguswa na kila type, Pingili za Mihogo, Ndizi Kisukari,Tango,Tambi ya Jiko, Kinukta, Mnara wa Simu, Dudukila, na kila type na LAZIMA mmoja kati ya hawa MAEX alimfeel sana japo IT DIDNT WORK OUT wakaachana ingawa deep down wana feelings za kimyakimya... Kuambiwa wewe UNAPENDWA haimaanishi hamna EX ambaye kila akimuona ANALOWANA! Na MAEX wengine hawana huruma, hata wasipoonana Miaka 2, siku wakikutana

ANALOWA jamaa anapitisha Dekio,na atarudi home atakutext, "I love you babe mi ndo nalala, Nakupenda sana"Ukiamua kupenda WE PENDA TU, ila ukitaka kujua yanayojiri ndani ya Penzi lako UTAWEKEWA DRIPU BURE... Shkamoo wewe hapo ambaye EX WAKO WA 36 kila mkikutana lazima mpashe kiporo japo unampenda mmeo.. Shkamoo Sana...Mapenzi matamu sana!
 
Kamaa nilivyo muelewaaaMimi sioni tatizo kama bint amekubaliii hayoo mambo alikua anayafanya zamani basss wee fanya uchunguzi wakoo ukijirithisha wewe na nafsi yakoo utaaamua kumuoaa au kumwachaaaa…

Pilii mimi naona bint hukoo serious coz kashasemaa anataka kua settle mjengee family
Usiweee mwepesii kuona kibanzi cha mwenzako wakati wewepiaa una boriti I mean that hata wewe umeshalala na wakeee kibao..
 
Ukianza kufuatilia historia ya nyuma ya kila utakayekuwa naye kwenye mahusiano hutofika popote. Kwa kawaida nyuma ya mafanikio yeyote yale huwa kuna mengi sana yamejificha, hivyo kama wewe umeridhia kuwa naye kama mke mtarajiwa unapaswa kufungua ukurasa mpya.Pia usiwe mtumwa wa historia japokuwa hatupaswi kupuuza historia moja kwa moja.

Watu hubadilika kutoka watu wema kuwa waovu na kinyume chake. Mtume Paulo ameandika vitabu kama 13 hivi kwenye Biblia na kumzidi hata Nabii Mussa aliyeandika vitabu 5. Lakini Historia ya mtume Paulo inatisha mno alikuwa muuaji mkubwa kabla uwezo wa Mungu kumbadilisha.
Tafakari halafu chukua uamuzi wa busara


Well said mkuu....
 
Km amepata utundu arabuni Ngoja nimuanzishie wife biashara za ng'ambo labda atapata maujanja na mautundu
 
Back
Top Bottom