naima79
Senior Member
- Feb 27, 2009
- 188
- 115
Wanaokuwa maraya ni wale wanaotoka hapa na dollar 200 na ticket tu, niambie unatoka hapa una 5000$ unaenda dubai unakaa 4 days unarudi, kwanza muda wa kufanya umalaya utaupata wapi? maana ukiamka saa 3 asubuhi na madukani mpaka saa 4 usiku ndio unarudi hotelini kwako, rekebisha kauli yako ya kuwa unasikia wasichana wanaoenda uarabuni ni maraya sana,
wengine tunaenda huko kila mwezi na bado hatuwajui wanaume wa huko kabisa kwasababu kinachotupeleka ndio tunachoendea, ila kama huyo tayari ana historia ya kuwa alifanya hayo hakufai sababu huwezi kwenda kutafuta mtaji kwa njia ya haram hiyo, kwanini hakutafuta mtaji hapa dar ndio akasafiri? siku hizi bank kibao zinakopesha kwanini hakuchukua ata mkopo? hakufanya sababu akitafuta mtaji alifanya sababu ndio hobbie yake