caxton
Senior Member
- May 8, 2015
- 145
- 157
- Thread starter
- #81
We jamaa una fix,c juzi hapa ulituambia kuwa we ni HR na kuna demu kamwaga ugali we ukataka kumwaga mboga?
Kwa hiyo wachangiaji wote humu wamesahau kuwa mm ni hr na nilirusha hiyo post? Kiasi kwamba ww peke yako ndo umekumbuka?
Wote waliochangia humu wanakumbuka hiyo post na iliyofuata hadi watu tumeasahau sasa
Ulitaka kwa kuwa binti kazini kwangu kanikataa basi siendelei na mengine nakaa tu, hakuna tena mapenzi, na nimegusia hiyo post unayoisema kwamba baada ya huyo binti kunikataa sasa nimepata msichana mfanyabiashara ulichoshindwa kuelewa nini hapo?
Nyinyi ndo huwa mnafeli mitihani hivi hivi, mtu hata kusoma post na comments husomi unarukurupuka tu kuchangi
Re check ur thinking capacity