uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,085
Hapa naonatazio kubwa wanaobisha hawaujuii huu mchezo na hawajawahi hata kushiriki. Ni bora mtu useme sijui ili ueleweshwe ila sio kujifanya una jua wakati hujui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio lugha sababu Mel. John Okumu akiwasomea swali na nyie mnaliona kwenye screen, unaweza ukawa umeshaelewa swali kabla hajamaliza kusoma tatizo ni content katika Elimu yetu... Kwa mfano kulikuwa na swali umawekewa picha utaje ni ua gani I have no idea, ila teammate wangu aliyesoma Kenya aliyapata sababu alisema hayo walikuwa wanafundishwa shuleni... Na ukiangalia maswali mengi ni general knowledge ila Elimu yetu haina hizo issue ingekuwa sio udadisi wetu na kuwa tunapenda kujisomea vingi tusingejua.. Kwa upande wangu knowledge ya vitu vingi vile ilitokana na Mimi kuwa napenda kujisomea sana kuna kipindi nilikuwa nmesoma vitabu vyote vilivyoko maktaba ya chini Arusha Library
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app