Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,044
- 1,996
Sio exact maswali mtakayaoulizwa ni sample questions lakini categories ni similar na format ya maswali ni sawa....Maswali mlikuwa mnapewa muda gani kabla ya kwenda kwenye shindano ?
TATIANA usikurupuke read to understand and not to comment for the sake of it, soma tena maelezo yangu, nilikuwa najibu hoja ya mdau aliyesema kuwa kulikuwa na chuo kimoja tu cha Tanzania kilichoingia quarter finals katika miaka yote ya mashindano, nikaeleza hapo kuwa mwaka 2007 katika inaugural event, vyuo viwili, Mzumbe na UDSM viliingia quarter finals , na sikusema kuwa vyuo vilivyoshiriki ni hivyo viwili tu , obviously SUA , Tumaini na State University of Zanzibar , walishiriki lakini hawakufika quarter finals. Vijana tuwe na utamaduni wa kusoma na kuelewa kabla ya kuanza kucomment.Uongo sio kweli.. Mimi nilikuwa sua na nilishiriki pia... Mwaka huo huo 2007.... Weka taarifa yako ya vyuo vizuri....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomeka kiongoziTATIANA usikurupuke read to understand and not to comment for the sake of it, soma tena maelezo yangu, nilikuwa najibu hoja ya mdau aliyesema kuwa kulikuwa na chuo kimoja tu cha Tanzania kilichoingia quarter finals katika miaka yote ya mashindano, nikaeleza hapo kuwa mwaka 2007 katika inaugural event, vyuo viwili, Mzumbe na UDSM viliingia quarter finals , na sikusema kuwa vyuo vilivyoshiriki ni hivyo viwili tu , obviously SUA , Tumaini na State University of Zanzibar , walishiriki lakini hawakufika quarter finals. Vijana tuwe na utamaduni wa kusoma na kuelewa kabla ya kuanza kucomment.
anyway ni vizuri kujua kuwa tulikuwa wote 2007.
Hakika kilikuwa ni kipindi kinachovutia wengi; watoto, vijana na hata wazee. Umaridadi wa bwana John Sibi-Okumu katika kuuliza maswali ulikifanya kipindi na mvuto maradufu.
Wale jamaa walikuwa sharp sana, maana kuna muda kabla hata muulizaji hajamaliza kuuliza swali, tayari alikuwa anapewa jibu.
Je, nini kilifanya hiki kipindi kupotea licha ya mvuto wake?
Nini kilikuwa kinakuvutia kwenye hiki kipindi ?
Mutua Ni Gavana Now wa Count moja Huko KenyaCobra squad series ya Kenya hii, ilitungwa na Alfred Mutua msemaji wa serikali ya Kenya enzi za mwai kibaki ,sasa HV sijui ana cheo gani
Jamaa aliweza kuimudu Ile nafasii.Daaaaaaaaaaahkaka Umenikumbusha Mbali Sanaaaa!Hii show Ilikuwa Hot Sana Na Mwalimu John Sibi Okumu (Man of the Questions)
Sent using Jamii Forums mobile app