Hapana sio ubovu wa elimu bali to be specifically ilikua tatizo la lugha yaani English.Zain Inter-University Competition.
Ni mashindano yaliyokuwa yanauweka uchi ubovu wa elimu ya Tanzania.
Worst of the Worst.
Maswali yalikuwa ni ya papo kwa papo kwani mshiriki alikuwa anaruhusiwa kuchagua aina ya maswali.Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?
Alfred Mutua saivi Ni gavana wa machakosCobra squad series ya Kenya hii, ilitungwa na Alfred Mutua msemaji wa serikali ya Kenya enzi za mwai kibaki ,sasa HV sijui ana cheo gani
... kwanini Kiswahili hakikutumika kama lugha ya kujibia maswali ilhali wakijua ni official and teaching language ya the biggest EA country? Lakini bado hata ingekuwa kwa Kiswahili exposure ya vijana wetu ni ndogo sana kuweza ku-compete na "wenzao".Hapana sio ubovu wa elimu bali to be specifically ilikua tatizo la lugha yaani English.
Kwani ilihusisha EA peke yake mbona WA walihusika example Ghana , Senagal niliwaona kwenye hiyo competition... kwanini Kiswahili hakikutumika kama lugha ya kujibia maswali ilhali wakijua ni official and teaching language ya the biggest EA country? Lakini bado hata ingekuwa kwa Kiswahili exposure ya vijana wetu ni ndogo sana kuweza ku-compete na "wenzao".
... maana yangu ni kwamba washiriki wangeruhusiwa kutumia lugha wanazozimudu zaidi as long as are their national languages including Kireno, Kifaransa, n.k.Kwani ilihusisha EA peke yake mbona WA walihusika example Ghana , Senagal niliwaona kwenye hiyo competition
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya Zain kufa na kipindi kikafa. Labda Airtel waifufue hii idea upya. Tena kipindi hiki cha Corona watapata watazamaji wengi kichizi.
... kwanini Kiswahili hakikutumika kama lugha ya kujibia maswali ilhali wakijua ni official and teaching language ya the biggest EA country? Lakini bado hata ingekuwa kwa Kiswahili exposure ya vijana wetu ni ndogo sana kuweza ku-compete na "wenzao".
Hapana Kiswahili sio official teaching language,official medium of instruction kwa tanzania kuanzia elimu ya Sekondari hadi chuo kikuu ni English.... kwanini Kiswahili hakikutumika kama lugha ya kujibia maswali ilhali wakijua ni official and teaching language ya the biggest EA country? Lakini bado hata ingekuwa kwa Kiswahili exposure ya vijana wetu ni ndogo sana kuweza ku-compete na "wenzao".
Hata Zambia na Malawi walishiriki ila gharama za usafiri zilikuwa kikwazo hivyo wakajitoa.Kwani ilihusisha EA peke yake mbona WA walihusika example Ghana , Senagal niliwaona kwenye hiyo competition
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakipata kazi ya kufundisha kiswahili Afrika Kusini itabidi wafundishe kwa subtitles!Hapana Kiswahili sio official teaching language,official medium of instruction kwa tanzania kuanzia elimu ya Sekondari hadi chuo kikuu ni English.
Ila kama tujuavyo Kiingereza ni tatizo kubwa kwa wasomi wetu hata waliopo ngazi ya Chuo Kikuu...
Ahsante Mkuu kwa kuniongea hapo,ubarikiwe
Wanafunzi wa vyuo vikuu Afrika Mashariki iliyotaealiwa na mwingereza na kufanya mitihani ya Cambridge na East Africa School Certificate tegemea uwezo wao itakuwa sawa vinginevyo kuna tatizo kwenye nchi husika.... maana yangu ni kwamba washiriki wangeruhusiwa kutumia lugha wanazozimudu zaidi as long as are their national languages including Kireno, Kifaransa, n.k.