Hivi Zain Africa Challenge iliishia wapi?

Hivi Zain Africa Challenge iliishia wapi?

Hapana Kiswahili sio official teaching language,official medium of instruction kwa tanzania kuanzia elimu ya Sekondari hadi chuo kikuu ni English...
... inasikitisha sana! Halafu kuna wizara kongwe tena kongwe kweli kweli ya elimu wala hawana habari kama ni tatizo.

Kuweza kujieleza vizuri na ukaeleweka ni sehemu muhimu sana ya msomi aliyeelimika.

Tusidanganyane eti "elimu sio lugha"; elimu usiyoweza kuwasilisha kilichoko kichwani mwako kwa ufasaha ina mapungufu makubwa.
 
Wanafunzi wa vyuo vikuu Afrika Mashariki iliyotaealiwa na mwingereza na kufanya mitihani ya Cambridge na East Africa School Certificate tegemea uwezo wao itakuwa sawa vinginevyo kuna tatizo kwenye nchi husika.
... Mkuu, mojawapo ya matatizo makubwa ni misingi mibovu kuanzia elimu za awali. Kiingereza kinafundishwa kama somo kuanzia la tatu hadi la saba tena na walimu wasio na ujuzi wa kutosha wa hiyo lugha. Kuanzia F-1 ndio kinaanza kutumika kama lugha ya kufundishia kupitia walimu wale wale wenye misingi mibovu ya lugha zaidi ya topic alizokariri miaka na miaka na sisi tunakaririshwa hivyo hivyo!
 
Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?

Mlikuwa mnapewa category, halafu mnaenda kujiandaa kilingana na hizo. Ila muda wa kujiandaa ni mfupi kama saa hivi.
 
Yes, maswali yalikuwa yanatolewa. Sema yalikuwa mengi sanaaa, kama miezi mi3 kabla ya challenge.

Hilo la miezi mitatu uongo. Pia hupewi maswali yenyewe

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Mfano mmepewa maswali elfu 3 utakumbuka yote? Kama unakumbuka kulikuwa na categories, kwahiyo walikuwa wanagawana kwa category hii itakuwa ya flani, hata anapouliza mnajua hili ni la huyu.

Category sawa, ila sio maswali yenyewe. Nakumbuka tulikuwa tunatumia encarta kufanya mazoezi
 
Hilo la miezi mitatu uongo. Pia hupewi maswali yenyewe

Sent from my iPad using JamiiForums
Ushawahi shiriki ? Maana huyo aliyeandika hivyo kadai amewahi shiriki.
 
Mdau, naomba kuweka kumbukumbu sawa ,

Sijajua umeshiriki mwaka gani , lakini mimi nilishiriki , inaugural event ya mwaka 2007 , ambapo vyuo viwili vya Tanzania Mzumbe, ikiongozwa na Prof Kamuzora, ambaye alikuja kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na sasa ni RAS Kagera kama sikosei na UDSM ikiongozwa na Dr Laurean Ndumbaro, ambaye sasa ni Katibu Mkuu Utumishi, vyote UDSM na Mzumbe viliingia robo fainali , mwaka huo event hii ilikuwa Inaitwa Celtel Africa Challenge, baada ya Celtel kubadili jina ndo ikaitwa Zain Africa Challenge.

Ni kweli klikuwa moja kati ya vipindi bora sana kwenye TV, kwa jinsi nilivyosikia ni Kuwa Airtel , hawakutaka kuendelea kutoa pesa ya kudhamini kipindi hiki na gharama zingine za production kwenda kwa Richard Reid Productions ya Marekani ambao ndio walikuwa wanahusika na kurekodi kipindi, kama walivyofanya wenzao Zain na Celtel. Nami nimekuwa najiuliza sijui kwa nini kampuni Kubwa kama Coca Cola au Matajiri wanaopenda kuendeleza Social Enterprises na Education Initiatives kama kina Tony Elumelu hawajajitoekeza kudhamini kipindi hiki.

Wape elimu. Kilikuwa chuo cha kwanza na pekee toka Tz
 
Mimi ilikuwa mwaka 2008 baada ya nyie.
 
Hivi yale maswali mlikuwa mnapewa kabla mkatafute majibu yake au ilikuwa ni free style tu ?
Maswali yalikuwepo mnapewa CD yalikuwa mengi category tofauti tofauti tulichokuwa tunafanya tunaangalia categories then tunajisomea kupata general knowledge...
Pia mbali na Zain kuwa wadhamini maswali na program yote ilikuwa chini ya kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaandaa maswali na programs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miezi mitatu kabla ya mashindano? Hili nakataa kama ulishiriki huu mchezo unajua candidates walikuwa wanapatikanaje kuna muda wa miezi 3 kweli??
Hatua ya kwanza ilkuwa mnapewa maswali yanyouliza vitu vingi tu washindi ni wale wanne waliopata marks za juu kwa muda mfupi then mnaenda Dar kutafuta wawakilishi wa nchi...mkirudi mnajiandaa na safari hiyo miezi 3 ni IPI? Na after all CD za maswali na buzzer walikuwa wnapewa wale tu waliowakilisha nchi
Yes, maswali yalikuwa yanatolewa. Sema yalikuwa mengi sanaaa, kama miezi mi3 kabla ya challenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano mmepewa maswali elfu 3 utakumbuka yote? Kama unakumbuka kulikuwa na categories, kwahiyo walikuwa wanagawana kwa category hii itakuwa ya flani, hata anapouliza mnajua hili ni la huyu.
Huu ni uongo sidhani kama ulishiriki...
Kuna phase(awamu) tatu na kila moja ina category zake na hizi mnaoneshwa dk 10 kabla ya mchezo kuanza so mnaangalia category na mnagawana kutokana na uwezo wenu nani aanze nani afuatie.... Swali LA msingi unajibu wewe uliekua kwenye buzzer bonus question mnaruhusiwa kushare ila isizidi sekunde 15... Na mwisho kulkuwa na ultimate challenge

Watu na Data zao. Ngoja aje abishe tena ntu hakuwahi hata kuvaa T-shirt ya Zain halafu anataka kuleta data za uongo hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sio ubovu wa elimu bali to be specifically ilikua tatizo la lugha yaani English.
Tatizo sio lugha sababu Mel. John Okumu akiwasomea swali na nyie mnaliona kwenye screen, unaweza ukawa umeshaelewa swali kabla hajamaliza kusoma tatizo ni content katika Elimu yetu... Kwa mfano kulikuwa na swali umawekewa picha utaje ni ua gani I have no idea, ila teammate wangu aliyesoma Kenya aliyapata sababu alisema hayo walikuwa wanafundishwa shuleni... Na ukiangalia maswali mengi ni general knowledge ila Elimu yetu haina hizo issue ingekuwa sio udadisi wetu na kuwa tunapenda kujisomea vingi tusingejua.. Kwa upande wangu knowledge ya vitu vingi vile ilitokana na Mimi kuwa napenda kujisomea sana kuna kipindi nilikuwa nmesoma vitabu vyote vilivyoko maktaba ya chini Arusha Library

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hii post ya Encarta wewe hatukua timu moja kweli?? Unakumbuka ile show ya Juliana Kanyomozi na Oliver Mtukudzi na mwanawe?
Anyway tulienjoy saana afu mfukoni hatuna kitu
Category sawa, ila sio maswali yenyewe. Nakumbuka tulikuwa tunatumia encarta kufanya mazoezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom