Hivi Zain Africa Challenge iliishia wapi?

Hapa naonatazio kubwa wanaobisha hawaujuii huu mchezo na hawajawahi hata kushiriki. Ni bora mtu useme sijui ili ueleweshwe ila sio kujifanya una jua wakati hujui.
Tatizo sio lugha sababu Mel. John Okumu akiwasomea swali na nyie mnaliona kwenye screen, unaweza ukawa umeshaelewa swali kabla hajamaliza kusoma tatizo ni content katika Elimu yetu... Kwa mfano kulikuwa na swali umawekewa picha utaje ni ua gani I have no idea, ila teammate wangu aliyesoma Kenya aliyapata sababu alisema hayo walikuwa wanafundishwa shuleni... Na ukiangalia maswali mengi ni general knowledge ila Elimu yetu haina hizo issue ingekuwa sio udadisi wetu na kuwa tunapenda kujisomea vingi tusingejua.. Kwa upande wangu knowledge ya vitu vingi vile ilitokana na Mimi kuwa napenda kujisomea sana kuna kipindi nilikuwa nmesoma vitabu vyote vilivyoko maktaba ya chini Arusha Library

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishiriki two times ya kwanza ilikuwa celtel challenge nikiwa first year tukaishia Dar.. Ya pili ilikuwa zain challenge tukatoboa mpaka Uganda...
It was amazing experience tulifikia millennium tower baada ya kupanda ndege na Kampala Serena Uganda
Mdau, naomba kuweka kumbukumbu sawa ,

Sijajua umeshiriki mwaka gani , lakini mimi nilishiriki , inaugural event ya mwaka 2007 , ambapo vyuo viwili vya Tanzania Mzumbe, ikiongozwa na Prof Kamuzora, ambaye alikuja kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na sasa ni RAS Kagera kama sikosei na UDSM ikiongozwa na Dr Laurean Ndumbaro, ambaye sasa ni Katibu Mkuu Utumishi, vyote UDSM na Mzumbe viliingia robo fainali , mwaka huo event hii ilikuwa Inaitwa Celtel Africa Challenge, baada ya Celtel kubadili jina ndo ikaitwa Zain Africa Challenge.

Ni kweli klikuwa moja kati ya vipindi bora sana kwenye TV, kwa jinsi nilivyosikia ni Kuwa Airtel , hawakutaka kuendelea kutoa pesa ya kudhamini kipindi hiki na gharama zingine za production kwenda kwa Richard Reid Productions ya Marekani ambao ndio walikuwa wanahusika na kurekodi kipindi, kama walivyofanya wenzao Zain na Celtel. Nami nimekuwa najiuliza sijui kwa nini kampuni Kubwa kama Coca Cola au Matajiri wanaopenda kuendeleza Social Enterprises na Education Initiatives kama kina Tony Elumelu hawajajitoekeza kudhamini kipindi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika kilikuwa ni kipindi kinachovutia wengi; watoto, vijana na hata wazee. Umaridadi wa bwana John Sibi-Okumu katika kuuliza maswali ulikifanya kipindi na mvuto maradufu.

Wale jamaa walikuwa sharp sana, maana kuna muda kabla hata muulizaji hajamaliza kuuliza swali, tayari alikuwa anapewa jibu.

Je, nini kilifanya hiki kipindi kupotea licha ya mvuto wake?

Nini kilikuwa kinakuvutia kwenye hiki kipindi ?
Dah umenikumbusha mbali sana.. Nilikuwa kwenye celtel Africa challenge ya kwanza kabisa Nairobi... Duuh we really had fun....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakuwa sharp kivile coz kipindi kilikuwa kinaeditiwa....nenda youtube angalia behind the scene utaona walivyokuwa wanachukua muda kujibu baadhi ya maswali hata yule muuliza maswali kuna muda alikuwa anakosea hadi kuuliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo nabisha.. Nilikuwa mmoja wa washiriki wa kwanza kabisa kipind ndio imekuwa launched... Wala sio kweli ni live

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdau, naomba kuweka kumbukumbu sawa ,

Sijajua umeshiriki mwaka gani , lakini mimi nilishiriki , inaugural event ya mwaka 2007 , ambapo vyuo viwili vya Tanzania Mzumbe, ikiongozwa na Prof Kamuzora, ambaye alikuja kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Sayansi na sasa ni RAS Kagera kama sikosei na UDSM ikiongozwa na Dr Laurean Ndumbaro, ambaye sasa ni Katibu Mkuu Utumishi, vyote UDSM na Mzumbe viliingia robo fainali , mwaka huo event hii ilikuwa Inaitwa Celtel Africa Challenge, baada ya Celtel kubadili jina ndo ikaitwa Zain Africa Challenge.

Ni kweli klikuwa moja kati ya vipindi bora sana kwenye TV, kwa jinsi nilivyosikia ni Kuwa Airtel , hawakutaka kuendelea kutoa pesa ya kudhamini kipindi hiki na gharama zingine za production kwenda kwa Richard Reid Productions ya Marekani ambao ndio walikuwa wanahusika na kurekodi kipindi, kama walivyofanya wenzao Zain na Celtel. Nami nimekuwa najiuliza sijui kwa nini kampuni Kubwa kama Coca Cola au Matajiri wanaopenda kuendeleza Social Enterprises na Education Initiatives kama kina Tony Elumelu hawajajitoekeza kudhamini kipindi hiki.
Uongo sio kweli.. Mimi nilikuwa sua na nilishiriki pia... Mwaka huo huo 2007.... Weka taarifa yako ya vyuo vizuri....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishiriki two times ya kwanza ilikuwa celtel challenge nikiwa first year tukaishia Dar.. Ya pili ilikuwa zain challenge tukatoboa mpaka Uganda...
It was amazing experience tulifikia millennium tower baada ya kupanda ndege na Kampala Serena Uganda

Sent using Jamii Forums mobile app
Oohooo safi.. Sisi intake ya 2007 tulikwea Kenya Airways tukafikia safari Park Hotel. It was quite an experience experience during that time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yalikuwepo mnapewa CD yalikuwa mengi category tofauti tofauti tulichokuwa tunafanya tunaangalia categories then tunajisomea kupata general knowledge...
Pia mbali na Zain kuwa wadhamini maswali na program yote ilikuwa chini ya kampuni ya Kimarekani iliyokuwa inaandaa maswali na programs

Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali mlikuwa mnapewa muda gani kabla ya kwenda kwenye shindano ?
 
Mbona kuna watu mnadai mlishiriki halafu taarifa mnazotoa wenzenu pia ambao nao wanadai walishiriki zinakinzana?
 
Bora ilivyoishilia mbali, maana intellectuals wa Tanzania aibu nilikuwa naona mimi. No doubt walidisplay qualities za jalalani, ni vile ukweli kuhusu jalala hatukuujua kabla.
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom