Hivi Yuda aliwezaje kumsaliti Mungu wake?

Hivi Yuda aliwezaje kumsaliti Mungu wake?

Habari za Mungu zina logical inconsistencies na Contradictions.

Habari za Mungu hazina tofauti na hekaya za Abunuwasi, Esopo, kalume kenge na Alfu lela ulela.

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Hakuna Mungu.
 
mimi siamini hizi hekaya za mashariki ya kati...
Lakini waliotuletea hizi dini wanajiuliza uhusiano kati ya Paulo na Yesu kwani wote hawakuwa na wake, huku ukizingatia Mary Magdalena wanasema alijilengesha sana kwa yesu bila mafanikio.......

1752011945399.png
 
Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana yaani aliwezaje kumsaliti mungu wake? Na mungu wake hakuweza kumfanya chochote kile? Huyu yuda alikuwa mbabaishaji sana
HUYO YUDA NDIO CCM WA WAKATI HUO! ALIKUWA MPIGA DILI TU HAKUJALI UTU!
 
Back
Top Bottom