Hivi Yuda aliwezaje kumsaliti Mungu wake?

Kama kweli Yesu alipokwenda toharani aliwakomboa wafubwote basi Yuda yupo zake mbinguni kuume kwa baba maana alijinyonga kabla Yesu hajafa. Ni kama alikuwa anamuwahi hivi 😂😂 tujifunze jambo kutoka kwa Yuda Wakuu.
 
Wafu hadi wa huku tandale au aliwakomboa wa huko kwao tu
 
Kama kweli Yesu alipokwenda toharani aliwakomboa wafubwote basi Yuda yupo zake mbinguni kuume kwa baba maana alijinyonga kabla Yesu hajafa. Ni kama alikuwa anamuwahi hivi 😂😂 tujifunze jambo kutoka kwa Yuda Wakuu.
Alicheza na muda 😂
 
Kuna demu nilimtokea, katika mazungumzo yetu akaomba simu yangu nikampa. Akaingia kwenye uwanja wa meseji akakutana na meseji za rafiki tulizokuwa tunachati mambo ya mapenzi. Alijua namba ni ya rafiki yake ameikariri. Demu akanikasirikia na kuniuliza kwa nini nawachanganya! Niliona aibu kubainika kuchanganya mtu na rafiki yake
 
Back
Top Bottom