Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Mtu mweusi ni kama ana laana hivi, mfano juzi waziri anaulizwa hali ya uchumi anasema mambo ni shwari kwa sababu kila akitembea njiani anaona gari namba E pia watu wananchangia sana michango ya harusi, sasa kama hiyo ni akili ya mtu aliyepewa wadhifa wa kusimamia uchumi wa watu takribani milioni 60 na ni msomi wa kiwango cha Phd hao walio ishia kidato cha nne watakua na fikira gani??!! kuna maana nyingine ya laana zaidi ya hii kweli??????
Hapa ndio niliona tuna laana ya kuwa na viongozi wasiojitambua kabisa na watu kama hawa kamwe hatuwezi kwenda popote!
 
Ulisemalo laweza kuwa kwa %chache sana, tuelewe kuwa mzungu kuna namna alivyoset hii dunia ili aendelee kuitawala na ukiangalia kwa makini utaona ngozi nyeusi ndilo kundi la mwisho ambalo amelenga ili lisijinasue kutoka kwenye lindi la umasikini, kuendesha nchi haina tofauti sana na kuendesha familia, sio rahisi sana kutoka familia ya kimasikini mara ghafla tu unakuwa tajiri bila kushikwa mkono, ni lazima awepo mtu akwambie pita hapa na pale mwisho utatoboa, lakn fikiria kila ulifanyalo kuna mtu anaweka kauzibe, yeye anakandamiza tu usiinuke unadhani kuna siku utatoboa?
Wengi wanaochangia hii mada wanatanguliza mihemko badala ya tafakuri, wapo kama vipofu
Wamekazania kujilaani pekeeake
Baadhi ya wachangiaji wameonesha athari na msukumo wa nchi za ulaya pamoja na USA kwenye ustawi wa Haiti lkn watu wanajitia upofu
Nchi ambayo inalazimishwa kulipa trilioni kila mwaka kama fidia ya kujikomboa unaifananisha na nchi inayopokea msaada wa kila namna
Nchi ambayo kila kiongozi mzalendo anauliwa na mabepari unaifananisha na nchi inayokumbatiwa na mabepari
Watu tunajitia upofu WA kuwaona wazungu kama Miungu huku tukijisahaulisha uharamia wao wanaofanya nyuma ya pazia
Janga la Haiti na nchi zingine kama Congo Ni multifactorial wala sio ishu ya ngozi, pengine hiyo ngozi inachangia asilimia ndogo ya kiini halisi
Ila self despair ndio imetumaliza kiasi hata kuwaza imekua shida
 
Halafu kutwa kulalamikia wazungu black lives matter.

Ni ngumu kukutana na watu wa Asia wanaoishi Marekani kulalamika wazungu hovyo hovyo wao wanapiga kazi wanapata elimu, pesa wanajazana tu kwenye makampuni makubwa kama wahindi, wachina.

Ukweli mchungu, SIfa kubwa ya mtu mweusi ni kulilia na kupenda kutilisha huruma
 
Soma Historia ya Haiti vizuri na Deni la Kitumwa walilokuwa wakimlipa Mfaransa na kuingiliwa na Marekani ili Watumwa wa Marekani wasiige KUPINDUA Serikali.

Mimi nimachoshangaa ni sisi Watu weusi wa Afrika kutokuisaidia Haiti hata ikibidi kutuma Majeshi na Misaada.

kwahiyo, iyo ndio sababu ya hata kushindwa kujenga barabara?
 
popote unapomwona mtu mweusi,au mwarabu aliyeshika dini kunakuwa na tabia zinazofanana.

ukitaka kujua watu weusi tuna matatizo angalia mambo wanayofanya ccm,yaani hawana shida nyingine zaidi ya kuona nchi imeingia machafuko haitawaliki tena ndio tumaini lao.kila siku wanafanya ujinga tu.

huyo muarabu umemuweka kwa chuki tu hapo ndugu, Hebu Nenda Dubai katembee umeuone Muarabu alivyo.
 
huyo muarabu umemuweka kwa chuki tu hapo ndugu, Hebu Nenda Dubai katembee umeuone Muarabu alivyo.
Ndio maana nikaweka na nyongeza"aliyeshika dini"

Si kila muarabu ni mbuzi,hapi dubai sababu sio wakomalia dini wameifanya kuwa mji wa mfano kwa jamii za dini zote,vinginevyo pesa zote za mafuta wangejenga misikiti kila familia ya hapo dubai iwe na wa kwake.
 
Ndio maana nikaweka na nyongeza"aliyeshika dini"

Si kila muarabu ni mbuzi,hapi dubai sababu sio wakomalia dini wameifanya kuwa mji wa mfano kwa jamii za dini zote,vinginevyo pesa zote za mafuta wangejenga misikiti kila familia ya hapo dubai iwe na wa kwake.

punguza chuki na uislamu ndugu, Saudi umefika?
 
Sijafika kwa sababu mimi sio muislam na nina chuki sana na uislamu.

Nataka nisilimu ili nifike.

jaribu hata kutizama kwenye mitandao uone maendeleo yao, na ni katika chini zilizoshika dini sana tena kwa mda mrefu sana
 
Back
Top Bottom