Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,015
- 12,282
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa Haiti
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI?