Kitu nachoweza kusema ni hiki hakuna binadamu asokua na ujinga kila mtu kuna kitu tu atakua amekibeba cha kipuuzi.
Unapomuita mtu malayer, mchawi sijui mpumbavu em kaa ufikilie ww hivo vyote hauna.
Kingine ni kua watu wengi wenye tabia za kuwatusi na kutuwatukana wenzao wao ndio wenye tabia hizo chafu.
Upande wangu mim hata unitukane vip sijui malaya, mchawi, mwizi, jambazi kama sifanyi na sina tabia yyte tajwa walahi siwez hata kujisumbua mim ntakujibu mim ni malayer haswa malayer wengine wote walijifunza kwangu.
Kwa watu wengine wao sijui chchte kwa sabb kila mtu na akili yake na inategemea alikua kweny hali gani ya kihisia kipind anatukanwa au kuambiwa hivo.
Sio kosa wala sio tusi kumuita mtu Malaya ikiwa anafanya umalaya.
Au mchawi ikiwa ni mchawi
Au mwizi ikiwa anafanya wizi.
Tusi ni kumpa mtu uhusika bandia usiowake.
Ndio maana kuna Lakabu,
Yusufu alikuwa muota ndoto akaitwa Chandoto.
Rahabu alikuwa anafanya shughuli za ukahaba akaitwa Kahaba.
Ukiwa unafundisha watu utaitwa Mwalimu,
Ukiwa unaendesha watu utaitwa Dereva,
Ukiwa unafanya mapenzi kinyume na maumbile utaitwa Mfiraji.
Sasa kosa hapo lipo wapi?
Huyo kama anafanya umalaya Kwa nini asiitwe Malaya?
Hiyo ishu ya kusema sijui hakuna mtu mtakatifu sio excuse ya utambulisho wake.
Yeye kachagua kudharauliwa Kwa kufanya shughuli zilizodharauliwa alafu anataka asidharaulike😂😂
Kuna watu wanavioja kweli.