Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

Kuna nini hapa sioni.Haya wambele wote muiname na sisi wanyuma tupate kuona.
Habari ni hii
JamiiForums973300186.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Nakuuliza nawaauliza unajisikiaje ukimwambia mtu yeyote Malaya au kahaba ..?

Wewe ninani ? Unauwakika wewe umekuwa na uhusiano mmoja tokea ujue mapenzi? Au kubalee au mpaka uoe au uolewe ??

Acheni hizo watu wazini na watu wanaliwa nakula ndio mpango mzima. Acheni kujiona wasafi kama wewe msafi nyanyua jiwe mpige huyo kahaba basi au huyo Malaya basi eh !!!!! Wacheni kudharauliana kila mtu ana maisha yake .

Wewe fuatq Yako na pangia watoto wako maisha na upange maisha Yako na ukoo wako ujao acha watoto wa watu na walivyokuzwa. Malaya ni wao na wewe tengeneza kizazi Cha wasio Malaya tengeneza watakatifu Kwendraaaa Mxiuu eti eti fuata Yako maisha huuwezi ingilia maisha watu wengine couze sio Yako.


Nimemaliza hii nikwenu wote
Sasa unataka tukuiteje wakati sifa inayokufaa ni kukuita Malaya? Eebo! wacha kutupangia..

Wewe ni malaya!!
 
Yani humu jf Kuna wanaumr waovyo Sana ,kuweni makini....Kuna wanaume wasio kuwa naakili,na wenye akili....waongo,wachawi,Malaya,wenyekupoteza mda,deiwaka etc be careful girls
 
Umalaya baya sanaa.
Ulipwe kisa kuto..mb.wa.Yaani uvue nguo ndipo ule.
Yaani utiwe uboho ukojolewe ndipo ulipe kodi.
Hizi ni akili mbovu na za kichaa pekeake anae weza kuzikubali
Ni zao sio wewe uliyemsafi
 
Yani humu jf Kuna wanaumr waovyo Sana ,kuweni makini....Kuna wanaume wasio kuwa naakili,na wenye akili....waongo,wachawi,Malaya,wenyekupoteza mda,deiwaka etc be careful girls
True upo sahihi wachawi nimewaona,waongo nimewaona,wenye kukupotezea muda nimewaona to be careful kwangu nilichelewaga
 
Tatizo unakaza kichwa hutaki kuelewa.

Prostitution in all forms is inherently a violation of human rights.

Kama hufahamu ngoja nikupatie darasa.

Tabia za ukahaba zinakuja na matatizo mengine mengi kwenye jamii.

1-ukahaba unaofanya ukidhani unafanya peke yako, fahamu kwamba unachangia pakubwa kuchochea child prostitution. Ndiyo maana jamii kwa umoja wake unasema ukahaba hauwezi kuwa sawa kwenye jamii inayojielewa na inayolinda watoto.

2-Ukahaba unachochea human trafficking. Chunguza visa vya wanawake/kinadada kutoka China, India waliopata kukamatwa hapa Tz kwakuwa nchini kinyume na sheria utagundua wengi wameingizwa kwenye matatizo makubwa kwasababu wakisafirishwa kwa kudanganywa wanapoenda watapewa kazi/malipo fulani.

3-Tabia za ukahaba hazipromote afya ya mwanamke. Wengi wanakuwa kwenye hatari kubwa kuambukizwa magonjwa. Unafahamu nini kitauta? Na wao watawaambukiza wengine.

4-Vipi kuhusu maadili ya watoto kwa ujumla? Unaelewa hata hili? Au unataka nikuandikie gazeti?

5-Wewe mtoa mada ni mbinafsi. Pia namna yako yakufikiria haipo sawasawa.
5.wewe ni mchangiaji akiliyako haiposawa na unafuatilia watu acheni nawao achaneni na maisha ya watu
 
"""Acheni hizo watu wazini na watu wanaliwa NAKULA NDIO MPANGO MZIMA. Acheni kujiona wasafi kama wewe msafi nyanyua jiwe mpige huyo kahaba basi au huyo Malaya basi eh !!!!! Wacheni kudharauliana kila mtu ana maisha yake"""
 
Wale wa kimboka, uwanja wa fisi, mwananyamala wanafanya kazi gani??
Umalaya!!
Sasa tuwaitaje kama sio malaya.

Hata wakitiwa nguvuni, makosa yao huwa ni kufanya umalaya/kuuza miili yao.

Na baadhi yao wakiitwa hivo sio nongwa kwao.
Na hili jina ni kwa mwanamke yeyote anaekitembeza ni malaya.
 
Wale wa kimboka, uwanja wa fisi, mwananyamala wanafanya kazi gani??
Umalaya!!
Sasa tuwaitaje kama sio malaya.

Hata wakitiwa nguvuni, makosa yao huwa ni kufanya umalaya/kuuza miili yao.

Na baadhi yao wakiitwa hivo sio nongwa kwao.
Na hili jina ni kwa mwanamke yeyote anaekitembeza ni malaya.
""Mi kwangu mke bora anapatikana kimboka"" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna niliye mtaka hapa boss wangu
Wachaa wote Malaya na niwazee kwako unavunga tu ila usiwaze usiwe nakwere atatokeza au ndio unaye tayari maisha ni hayo lazima watu wapate
 
Back
Top Bottom