Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

"Wadada wanaouza wako very rude"
Unapaswa kumuheshimu kila mtu awe kahaba awe, mrefu awe mfupi ndivyo hivyo tunafundishwa.

Kama unaweza muita mkeo pembeni kabisa sehem ambapo hakuna watoto wala yyt. Ndio njia hyo hyo utatumia kuzungumza na yyte yule.
Tujifunze kuzungumza na watu na kujizuia kuwaita watu majina ya mabovu

Umefundishwa na nani na wapi kumuheshimu kahaba au jambazi?

Are you serious right now?

Hao watu wameamua kujivunjia heshima wenyewe unataka jamii iwaheshimu?

Hebu acha kuwa goigoi.
 
Umefundishwa na nani na wapi kumuheshimu kahaba au jambazi?

Are you serious right now?

Hao watu wameamua kujivunjia heshima wenyewe unataka jamii iwaheshimu?

Hebu acha kuwa goigoi.
Hao majambazi ni wazazi wa mtoto ambae ni rfk wa mtoto ako hapo shuleni kwao.
Je, unaweza mwambia mtoto ako usimuheshimu baba ake na Patrick kwa sabb ni jambazi?!

Mim kua goigoi si shida.
Ww unaweza niona hivo alfu mwenzio akaniona timamu🤨🤨🤨
 
Umefundishwa na nani na wapi kumuheshimu kahaba au jambazi?

Are you serious right now?

Hao watu wameamua kujivunjia heshima wenyewe unataka jamii iwaheshimu?

Hebu acha kuwa goigoi.
Kama ulifunzwa kumuheshimu baba na mchungaji kanisani na usimuheshimu shangazi ako au mama na baba wa jirani ako kwa sabb ni wezi na waporaji ma malaya. Aaah basi hakuta kua na nidhamu au adabu yyte ulofunzwa.

Ila utakua umefunzwa uoga na unafki
 
Kama mtu ni malaya, ukimwambia ni malaya kuna shida gani!?, Yani Tanzania watu mnasikitisha mnapenda uongo kuliko ukweli. Mtu kakwambia malaya kwa nia ya ukweli we ni malaya, sio amekwambia kwa kumaanisha we mjinga au laa.
Kama unawanaume zaidi ya wawili we ni MALAYA sitaki kupindisha maneno, maana kwenye kamusi hio ndo maana yake halisi. [emoji419]
Wewe je una wangapi??
 
Hakuna mtu anaechagua kudharauliwa.
Huyo unaemuita malaya una uhakika wowote kama anafanya biashara hyo ya ujasiriamali.
Kitu kikubwa ninachozungumzia tuache kuita watu majina yasofaa basi.

Kuhusu dhambi ndio kuna watu wako na dhambi zaid ya hao malaya mtu ana dhambi hadi akishika mmea unanyauka lkn yeye huyo kutwa kucha kuita watu na kuwapa sifa za ajabu si SawA.

Mtu awezi akawa na akili na fikra safi muda wote ndo mana nkasema pia njia ya maongezi ni nzuri zaid.

Unaweza jikuta unasema fulani ni muuaji hapo watu wote wanakuchora wanajua kabisa we ndio muuaji na si huyo unaemsema.

Mkuu mtu mpaka anaitwa Malaya mara nyingi ni Malaya.

Ninakubaliana na wewe kuwa mtu Kama hafanyi umalaya alafu akaitwa Malaya hayo ni matusi.
Lakini kama anafanya ni Haki yake kuitwa hivyo.

Wapo wanaochagua kudharaulika Kwa kufanya mambo ya Fedheha.
Kama wanafanya Kwa hiyari wao basi wasiwakataze wale wanaowaona kuwaita majina yanayoendana na wafanyacho
 
Kama ulifunzwa kumuheshimu baba na mchungaji kanisani na usimuheshimu shangazi ako au mama na baba wa jirani ako kwa sabb ni wezi na waporaji ma malaya. Aaah basi hakuta kua na nidhamu au adabu yyte ulofunzwa.

Ila utakua umefunzwa uoga na unafki

Wewe sasa akili yako inaanza kuyumba.

Unaelewa maana ya heshima?

Respect is earned not given.

Fungua bongo lako uone mambo kwa undani siyo juu juu.

Kama wewe unaheshimu majambazi na malaya basi maana yake unasupport hayo mambo.

Unajua kwasababu gani?

Unapromote matendo yao yaonekane kawaida.

Binti mdogo, unapaswa ufahamu hakuna ujanja wowote wakuwa malaya. Jifunze ujuzi fulani utapata pesa yako na si kuuza uchi.
 
Hao majambazi ni wazazi wa mtoto ambae ni rfk wa mtoto ako hapo shuleni kwao.
Je, unaweza mwambia mtoto ako usimuheshimu baba ake na Patrick kwa sabb ni jambazi?!

Mim kua goigoi si shida.
Ww unaweza niona hivo alfu mwenzio akaniona timamu[emoji2955][emoji2955][emoji2955]

Unaelewa maana ya heshima?

Au unadhani heshima inauzwa kama malaya wanavyouza uchi?

Respect is earned not given.

Hiyo hoja yako ya mtoto sijui baba jambazi haina mashiko.

Nani anataka mtoto wake awe na mazoea na majambazi?

Unawaza kwakutumia masaburi? Nauliza tu.

Maana unaandika mambo yasiyokuwa na maana.

Kama unabisha sema kwanini?
 
Bila shaka ndio zile species za "TOA HELA WEWE..........VIZURI VINA GHARAMA...........".
 
Nakuuliza nawaauliza unajisikiaje ukimwambia mtu yeyote Malaya au kahaba ..?

Wewe ninani ? Unauwakika wewe umekuwa na uhusiano mmoja tokea ujue mapenzi? Au kubalee au mpaka uoe au uolewe ??

Acheni hizo watu wazini na watu wanaliwa nakula ndio mpango mzima. Acheni kujiona wasafi kama wewe msafi nyanyua jiwe mpige huyo kahaba basi au huyo Malaya basi eh !!!!! Wacheni kudharauliana kila mtu ana maisha yake .

Wewe fuatq Yako na pangia watoto wako maisha na upange maisha Yako na ukoo wako ujao acha watoto wa watu na walivyokuzwa. Malaya ni wao na wewe tengeneza kizazi Cha wasio Malaya tengeneza watakatifu Kwendraaaa Mxiuu eti eti fuata Yako maisha huuwezi ingilia maisha watu wengine couze sio Yako.

Nimemaliza hii nikwenu wote
Once a hoe is always a hoe
 
Kwa hiyo huwa ukichukizwa hapo magetoni mwako ndiyo unatukumbuka JF utukemee?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitimoto hicho
JamiiForums973300186.jpg
JamiiForums-596596548.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna nini hapa sioni.Haya wambele wote muiname na sisi wanyuma tupate kuona.
 
Back
Top Bottom