Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

Hivi watu huwa wanajiona nani yaani?

Umalaya baya sanaa.
Ulipwe kisa kuto..mb.wa.Yaani uvue nguo ndipo ule.
Yaani utiwe uboho ukojolewe ndipo ulipe kodi.
Hizi ni akili mbovu na za kichaa pekeake anae weza kuzikubali
Mbona kichaa hawajakubali
 
Mtu akiwa na tabia mbaya lazima aambiwe.

Tabia ya kukaa kimya kwenye kila kitu ni ubinafsi wa kiwango cha lami.

Haiwezekani uitwe malaya bila sababu. Ikifika hiyo stage tambua kuna tatizo hapo. Chunguza njia zako.
Mimi sijaitwa Malaya hata siku Moja ila umalaya ni mzuri Kwa maisha haya Kwa maana utakuwa kungwi unalipwa kuja kuwafundisha watu jinsi yakuliwa vizuri ,.hii ni Raha sana ukiwa unajiona ona unakuwamsenge tuwala Huna dili .



Mwenzio anaolewa wewe upo unashangaa anamichongo ya hela wewe Huna unabaki na njaaa
 
Kama mtu ni malaya, ukimwambia ni malaya kuna shida gani!?, Yani Tanzania watu mnasikitisha mnapenda uongo kuliko ukweli. Mtu kakwambia malaya kwa nia ya ukweli we ni malaya, sio amekwambia kwa kumaanisha we mjinga au laa.
Kama unawanaume zaidi ya wawili we ni MALAYA sitaki kupindisha maneno, maana kwenye kamusi hio ndo maana yake halisi. [emoji419]
 
Nakuuliza nawaauliza unajisikiaje ukimwambia mtu yeyote Malaya au kahaba ..?

Wewe ninani ? Unauwakika wewe umekuwa na uhusiano mmoja tokea ujue mapenzi? Au kubalee au mpaka uoe au uolewe ??

Acheni hizo watu wazini na watu wanaliwa nakula ndio mpango mzima. Acheni kujiona wasafi kama wewe msafi nyanyua jiwe mpige huyo kahaba basi au huyo Malaya basi eh !!!!! Wacheni kudharauliana kila mtu ana maisha yake .

Wewe fuatq Yako na pangia watoto wako maisha na upange maisha Yako na ukoo wako ujao acha watoto wa watu na walivyokuzwa. Malaya ni wao na wewe tengeneza kizazi Cha wasio Malaya tengeneza watakatifu Kwendraaaa Mxiuu eti eti fuata Yako maisha huuwezi ingilia maisha watu wengine couze sio Yako.


Nimemaliza hii nikwenu wote
We ako nahisi tumewahi meet bijampola kahama unauza k
 
Malaya-mwanamke anayeuza mwili wake kwa wanaume kimapenzi
 
Mimi sijaitwa Malaya hata siku Moja ila umalaya ni mzuri Kwa maisha haya Kwa maana utakuwa kungwi unalipwa kuja kuwafundisha watu jinsi yakuliwa vizuri ,.hii ni Raha sana ukiwa unajiona ona unakuwamsenge tuwala Huna dili .



Mwenzio anaolewa wewe upo unashangaa anamichongo ya hela wewe Huna unabaki na njaaa

Wahi hospital ndugu.

Unakaribia kuwehuka.
 
Malaya toa *chi upate iphone tambo
Havitulii vi**mi kutwa kucha
Sio maneno yangu ni moni centrozone
 
Kwani mi nimesema kama ni wangu jamani kumbe anapenda pesa huyu demu by salmin swaggz
 
Kumekuchaaaaaaaaa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaa ulidhani ni usiku maana humu wanaume wamezidi sana kama hata wao ni wema vyenyewe baadhi Yao ni nusu akili tu
 
Kitu nachoweza kusema ni hiki hakuna binadamu asokua na ujinga kila mtu kuna kitu tu atakua amekibeba cha kipuuzi.

Unapomuita mtu malayer, mchawi sijui mpumbavu em kaa ufikilie ww hivo vyote hauna.
Kingine ni kua watu wengi wenye tabia za kuwatusi na kutuwatukana wenzao wao ndio wenye tabia hizo chafu.

Upande wangu mim hata unitukane vip sijui malaya, mchawi, mwizi, jambazi kama sifanyi na sina tabia yyte tajwa walahi siwez hata kujisumbua mim ntakujibu mim ni malayer haswa malayer wengine wote walijifunza kwangu.

Kwa watu wengine wao sijui chchte kwa sabb kila mtu na akili yake na inategemea alikua kweny hali gani ya kihisia kipind anatukanwa au kuambiwa hivo.
Sasa utakuwaje Malaya halafu Jambazi!!!!

Ila siku hizi tabia mbaya ndio jamii inajivunia
Watu waliotakiwa wawe na Soni usoni Leo hii wanatamba
Mf Malaya anaona sifa kudanga
Mchawi anaona sifa anajiita gwiji au mtu wa asili
 
Mimi sijaitwa Malaya hata siku Moja ila umalaya ni mzuri Kwa maisha haya Kwa maana utakuwa kungwi unalipwa kuja kuwafundisha watu jinsi yakuliwa vizuri ,.hii ni Raha sana ukiwa unajiona ona unakuwamsenge tuwala Huna dili .



Mwenzio anaolewa wewe upo unashangaa anamichongo ya hela wewe Huna unabaki na njaaa
Ogopa kufundwa na kungwi/Nyakanga aliyeachika.

Kifupi Malaya hana maadili ya kufunza mtu akawe mke bora kwenye Ndoa yake labda Malaya wenzie
 
Kichaa ni wewe ndugu huwezi mpangia namaisha yake ili hali umjui Mtu yupo tu humu unapanic na akili yake sio Yako ni yake

Unajishtukia kwasababu unachofanya si sawa.

Huwezi kuwa malaya halafu utake jamii ikusifie.

Unaakili wewe?
 
Back
Top Bottom