Hivi wasambaa wana sifa gani??

Hivi wasambaa wana sifa gani??

Huwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu

Wana zaa kama wayahudi au wapemba !
 
hawajui mapenzi kabisa ila kazi wanafanya kama panzi na si wasafi kabisa kwenye k zao na
 
Wanaongoza kwa kushikashika miguu ya mama na dada zetu kisa eti wanasafisha kucha. Walah, siku nikimkuta anadusugua miguu ya my wife, navunja miguu ya mwanamke na yeye namvunja kiuno.
 
Muumbia gemo awea kigha wanyika mnavigha. Na mnya mwekoongo atoza mweshiki. Wanyika kemna mashiki ila mna chaaya cheghenea. Ishwi washambaa tighoshoa ndima kangwe mafu yetu yatende kimeshu wanyika kemna kimesho mwemafu yenyu nivyeeka mmafisadi.
 
wakike ni wapole nahata umpigeje haondoki ila ukimuoa ndio ujue umeoa ukoo wote
wakiume wahuni kila anakoenda kutafuta maisha anazaa n kuacha mke
tabia ya ujumla ni wakarimu sana na wanajali utu wa mtu,wanajua kubembeleza mnoooooooo

Kweli aisee ukioa msambaa basi ukoo wake wote wanataka ww ndo uwe baba yao, kaka zake , dada zake woote watakuegemea ww . Ila kwenye mambo wako vizur, hasa kwa wale watundu wa tigopesa ndio watachanganyikiwa
 
Wanaongoza kwa kushikashika miguu ya mama na dada zetu kisa eti wanasafisha kucha. Walah, siku nikimkuta anadusugua miguu ya my wife, navunja miguu ya mwanamke na yeye namvunja kiuno.

Mbona nishamsugua sana miguu na kucha za bandia nishamuwekea sana, tatizo muda ninao msugua wewe upo kazini, halaf anavyofurah nikimsugua hadi anasinziasinzia, salaaale
 
Back
Top Bottom