Hivi wasambaa wana sifa gani??

Huwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu
Ukifanikiwa kuopoa binti wa kisambaa jua umeopoa almasi mchangani
Ni wacha Mungu
Ni wakweli
Ni waaminifu
Ni wasafi
Ni wasiri
Wanajua kupenda
Wana jua kupika
Ni wataalam wa tiba mbadala
Wanajua bajeti nk nk
 
Back
Top Bottom