Hivi wasambaa wana sifa gani??

Hivi wasambaa wana sifa gani??

Tukianza kudadisi sifa za kila KABILA humu, watu wataishia kutiana vidole vya macho...............Kwa mtazamo wangu sidhani kama ni busara sana kudadisi tabia za makabila in general, watu watakwazana humu kwa sababu kama kuna mtu alitendwa na mtu wa kabila hilo, ndio atapata nafasi ya kumaliza hasira zake..........
Na tusipoangalia kila mtu atakuja hapa akitaka kujua sifa za kabila fulani na matokeo yake tutajikuta tukijadili makabila badala ya mambo ya msingi...........................

Hapa sio kazini au shule kwamba tunafata muongozo wa kitabu.
tanzania hua kuna utani wa makabila hua tunataniana sana sioni sababu ya kuacha kupata raha wenginetuta ambulia hata moja la kujifunza humu ndio raha ya mjumuiko wa marafiki tofauti tofauti usipo jichanganya utaishia kubaki na akiri mgando zakotu tuongee chochote ilimradi matusi hapana ukiona umezidiwa utani nyamaza.
 
Wadada wakisambaa ni wakarimu sana ni vigumu ndoa kuvunjika ukiwa na msambaa Pia kuna uhakika wa kula mzigo mwanzo mwisho mwenyewe swala la kuchepuka kwao ni F yani wanalizika sana ila mbulu na mhaya utasaidiwa sana na masela

toa source mkuu....!!!!!!
 
Huwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu

Wewe ni KE au ME?
 
Back
Top Bottom