Hivi wasambaa wana sifa gani??

rubii thanks to The Almighty God am back nilipotea kidogo lakini hakukuwa na tatizo lolote bali nilienda kuongeza ufahamu kwa vitendo mambo yetu yale ya kiroho

ooh okay karibu tena jamvini naona umekuja na lawama kwa mods.
 
Last edited by a moderator:
Pia wana sifa ya kuvumilia baridi mkuu uko juu milimani wanapoishi kuna baridi balaa sisi wageni uomba likizo mda wa baridi ukifika, wakati wao utinga tshirt na kwenda katika shughuli zao iwe baridi au joto

Kweli kabisa nipo Bumbuli hapa baridi ni Kali hatari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom