Hivi wanawake wanajisikiaje wakifanya haya..

Ni kutojiamini na kutaka kujifananisha na wanawake wa western n european countries. Hatuwezi kuwakataza kwa kuwa tukiwakataza mnauita mabahili na hatuwapendi. Ila ukweli ni kwamba mnabidi mjue kuwa hiyo ni show tu na ina madhara yake. Tena jaribuni kufuatilia jinsi zinavyotengenezwa.
Mbona hamlali nazo kama ni nzuri?
 
We men will never fully understand women unfortunately men are fully understood by women.
i guess women are now free to feel whatever makes them feel good.
Sasa hivi universally ni wanawake wachache ambao hawatumii urembo huu.
Nimejaribu kuuliza inakuwaje wengi wameniambia kuwa hizi pieces wanazovaa inategemea shape ya uso, complexion na mambo mengine ambayo unaweza tu kuyapata kwenye salon nzuri. Sasa hawa dada zangu wengine wao wanaweka pengine wanaiga roll models wao wa movies and other artists.
Ukweli ni kwamba akina dada sasa wako bomba sana
samahani huu ni mtazamo wangu tuu.
 
we unakereka nini? Mzuie wa kwako asivae...sie wenzio tunanunua tu, sijui human hair..sijui Brazilian nini...as long as 'beibe' anapendeza, anakuwa comfortable na confident...who cares!

Hilo nalo neno...
 
It is more expensive to maintain natural hair, inahitaji kwenda saluni often kuliko nywele fake!

Ngoja nikaweke kope za bandia leo, kama ufyagio wa uani,lol
Kama hupendi wewe wenzio wanapenda na wananunulia wawapendao,ww nadhani utakua bahili sana ndio mana hupendi.
 
nyinyi wanaume mna matatizo sana mara muwambie wanawake wako rafu, mara kwa nini wanavaa bandia hamueleweki, na nyinyi ndio sababu wanawake wanahangaika kuwafurahisha nyinyi.

cha msingi ni kumwambia wako afanye yale unayoyapenda na usimshangae wa mwenzako kwa nini kafanya nini.
 
Baadhi ya...
 
Kutana na mdada aliye msibani halafu kabandika kope, wakati wa kulia utacheka manake analia jicho likiwa wazi wakati jicho mpaka lijikunje ndo machozi yatoke, urembo mwingine bana, kuweni natural tuu
 
Unajua hawa dada ze2 me cwaelwi kabisa maana "Fake hair, Fake eye blows, fake skin, fake nails, fake buttocks and xo xo" but they still need real men
mkuu usiangalie hayo ma-fake hair na nini cjui...We angalia tu injini kama iko safi basi.mengine yote yaliyobaki ni nyongeza tu!
 
Hivi wanaume mmekatazwa kubandika hizo nywele na kucha? Mbona mmewaandama wanawake? Halafu wakipendeza mnawakata shingo feni humo barabarani, na kukimbilia kuwatongoza......

Hebu acheni unafiki
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa, eti oohh, waarabu wabaya, wahindi ndio usiseme, wazungu wabaguzi, halafu nywele na rangi zao upo tayari kuzinunuwa kwa bei yoyote ile ili nawe uonekane mbaya? mbaguzi?

Mleta mada, adakiss23, hii ni mada nzuri sana na ina mengi ya kujifunza ikijadiliwa kiundani.
 
ulimbukeni na umagharibi unawasumbua

...That is what I wanted to say. Just an Inferiolity Complex in the part of our women, that you cant look beautful without wearing an Mzungu hair...!
 
Who told you women wear 'Brazilian hair' so they can be Brazilians?

Kama hauna cha kuandika kaa kimya. Swali gani hilo unalouliza? Au ndo umezoea ubishi wa kwenye vigenge vya kahawa? Mswahili anapovaa "Brazilian hair" simply inamaana anataka aonekana kama mBrazil. Halafu eti ndo mnataka mabadiliko, kwa akili hizo!!?? It's people like you who make Tanzania a miserable country to live.
 
Yani mwanaume huku jf anaponda fake stuff lakini akikutana na mwanamke ameweka nywele,kope,kucha fake ndo wa kwanza kumtongoza...
 
Kama hauna cha kuandika kaa kimya. Swali gani hilo unalouliza? Au ndo umezoea ubishi wa kwenye vigenge vya kahawa? Mswahili anapovaa "Brazilian hair" simply inamaana anataka aonekana kama mBrazil. Halafu eti ndo mnataka mabadiliko, kwa akili hizo!!?? It's people like you who make Tanzania a miserable country to live.

Really!? Are you serious!? I make Tanzania 'miserable' country to live because of my opinion about 'Brazilian hair'! Na Kikwete na CCM yake watakuwa wameifanya Tanzania sehemu ya aina gani basi kama comment to on 'some' hair make you miserable...Tanzania miserable!? Maaan you made me laugh...
 
ukweli ni kwamba wanaume wachache sana wanarespond kwa wanawake natural.

ila yanabore, maana wenye natural beauty wanaonekana wameyaweka hayo madude, kumbe wapi.
 
Really!? Are you serious!? I make Tanzania 'miserable' country to live because of my opinion about 'Brazilian hair'! Na Kikwete na CCM yake watakuwa wameifanya Tanzania sehemu ya aina gani basi kama comment to on 'some' hair make you miserable...Tanzania miserable!? Maaan you made me laugh...

They make Tanzania a hilarious country to live.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom