Hivi wanawake wanajisikiaje wakifanya haya..

ndio maana nikasema MAKATUNI....uuuwiiii
Wanatisha, wangejijuwa:
DSCI0615.jpg

DSCI0614.jpg

DSCI0620.jpg

 
Yani mwanaume huku jf anaponda fake stuff lakini akikutana na mwanamke ameweka nywele,kope,kucha fake ndo wa kwanza kumtongoza...
the last tym I checked a big part of utongozaji men do is for fun, nothing serious. na anapokuwa katuni ofcourse why not have the fun afterall ndio maana ya katuni...unajua kuna kuwa mrembo, msafi na bado ukawa natural ukapendeza tu, sio mpaka utake kufanana na akina nanihii wa Holly nanihii jamani. african women r beautiful just as they r.
 
ukweli ni kwamba wanaume wachache sana wanarespond kwa wanawake natural.

ila yanabore, maana wenye natural beauty wanaonekana wameyaweka hayo madude, kumbe wapi.
ni kweli....it takes quite a lot to notice real quality. so mwanamke aliyeamua kubaki natural anapata advantage ya kupata watu wanaojua kunotice quality na sio watu wanaowehuka kwa fake appearance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom