Hivi wanawake wana mioyo gani?

Kwani na wewe uliombwa ulete miguu yako hapa na jicomment lako chafu hapa linanuka shombo la samaki waliooza , hujaombwa we pita pembeni we vipi.
niko hapa kutimiza mahitaji ya moyo wangu wala sitishwi na wewe hata sijui sura yako ikoje
Kupitia shombo La samaki waliooza baba yako aliweka hogo lake kwa moyo ndo ukazaliwa wewe so ukitaka kutukana uke wa mwanamke anza kuutukana wa mama yako mzazi maana alivyo mama yako ndivyo walivyo wanawake wote, hadi Huyo unayemshambulia, shame on you
 
pitia hizi reference;
Matthew 27:56, 61; 28:1;
Mark 15:40, 47;16:1-19;
John 19:25; 20:1-18 .
Mark 16:9

muulize mchungaji wako swali hili "kwa nn yesu wakati wa kufufuka kwake, alimchagua maria magdalena kuwa wa kwanza katika wanafunzi kumtokea?"
nitaifatilia mkuu nashukuru kwa response, Barikiwa sana
 
Nope mama yangu si mchafu she is bright just like me, hata daddy he was a good man wala mzee asingeweza kulala na mwanamke kama wewe.
Shame on you too usijilinganishe na mimi kwanza kalime ukanunue upate hela uoge na ununue nguo za ndani au kama utahitaji ntakumia japo zikusaidie maana naona wewe shida tuu kwanza ntokee hapa
 
hapana siwezi miliki mwanamke bali natimiza haja zangu naondoka
Huyo mwanamke unaesema huna haja nae na kumtolea maneno hasi unawezaje kumwamini na kumvulia hiyo suruali yako? Akiamua kukata huo muhogo wako je?
 
tatizo nyie wanawake mnabadilika badilika sana tukisema tuna wadadisi ni kazi bure tuu kwani nyie ni waigizaji wazuri tuu.
Hakuna Anaeweza kukupa somo kuhusu wanawake wala binadamu yeyote kaka angu... Kumsoma mtu inahitaji elimu ya hali ya juu. Ila tambua kwamba kama unavyoshangaa wanawake na sisi tunawashangaa wanaume. Mwanamke hana complication sana... Ni wewe tu kutambua mtu ulienae na kumtreat kwa jinsi alivyo na sio kutumia mazoea. Watu tuko tofauti. Ila mi nadhani mwanamke yeyote ukimchukulia kama malkia haitakupa presha. Tunapenda mwanaume atuelewe na atutreat kama vile hakuna mwanamke mwingine duniani na atusikilize.
 
Mama yako ana nini na mimi nna nini? Au yeye ana ndoo mimi nna shimo
ungelikua na alichonacho sidhani kama tungebishana hapa, you just go and live your life, tafuta levo zako hata sijui umetoka wapi humu
 
Kwenye maandiko matakatifu kaandika ''enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu"
kweye kitabu cha Mithali ila sijui ni mstari gani kama wewe ni Mkristu.
Unajua tokea mwanzo nyie ni waajabu sana?
naona umetumia baadhi ya vifungu vya bibilia kumisinterprete na kujustfy mtazamo wako na wale wenye muelekeo/mrengo kama wako.(To put the record straight,mimi ni mwanaume,siongei haya kama Feminist either)
Muone hawa/eva alivyolaaniwa kizazi chake, umewahi kujiuliza kwa nini kiungo chake cha uzazi kipewe adhabu?
hakuna uhusiano wowote kulaaniwa kwake na kiungo chake cha uzazi kupewa adhabu kujustify the so called ''udhaifu'' wao/usiri wao/udadisi nk..jaribu kujenga hoja yenye mshiko..
huyu kuna kitu alifanya na nyoka na ndio maana baada ya kumpa tunda adamu baada ya yeye kula walianza kuoneana aibu kwamba wako uchi.
kitu gani?na ni nini limekufanya kuuhusianisha moja kwa moja na udhaifu wake,mara udadisi,akili nyingi,kuchunguza?Mbona unachanganya vitu vinavyojicontradict?hata sielewi hasa unasimamia nini..

baada ya porojo zote hizi,tambua kwamba,Duniani kuna wanawake na wanaume tu(achilia mbali kundi dogo lenye matatizo ya kibaiolojia)......Sifa zote ulizotaja za kundi moja(wanawake) hata wanaume wanazo ila kwa kuwa umeweka dominance factor(mwanaume kama mtawala) either unazioverlook ama umezihalalisha kuwa sawa kwa mwanaume na kitu cha kunyooshewa kidole kwa mwanamke...

tunaweza kutumia bibilia hiyohiyo kuonesha mwanamke pia kama mtu jasiri,mwenye akili,kiongozi na sifa nyingi chanya.

The Negative Portrayal of Women by Non-biblical Authors
The Portrayal of Women in the Bible and Biblical Inspiration
 
Huyo mwanamke unaesema huna haja nae na kumtolea maneno hasi unawezaje kumwamini na kumvulia hiyo suruali yako? Akiamua kukata huo muhogo wako je?
Navumilia tuu ila angelikua wa thamani sana ningemhifandi kama navyoweka fedha zangu bank, mahali salama kabisa lakin sio mwanamke ambae Mungu keshatuambia kabisaaa alivyo. ni kula na kuondoka kwanza nshakuambia furaha yangu sio mwanamke kuna vitu muhimu sana vinanifariji nafsi yangu. furaha yangu sijaiweka kwa mwanamke.
bali ni asilimia kidogo sana ndio maana huwa nakula naondoka
 
nice ila ni one in a million, wewe ndie mwanamke ulienijibu vizuri hapa ndani. sasa hapa naona ni jinsi gani wanawake bora walivyowachache ila kama kweli unampa vyote mumeo thats good. maana unafiki ni kitu kibaya sana na udanganyifu ni sifa yenu kuu
 
Ngoja nikupe hii saikolojia
mwanaume yoyote duniani ni mzaifu sana kwenye mapenzi(wanawake watanielewa hapa) ila pamoja na udhaifu alio nao ana MSIMAMO akiamua kitu ata kiwe kibaya atasimamia hapo
kwa wanawake sio wadhaifu ila sasa wana penda kumcontrol mwanaume ila wanashindwa njia ipi waitumie kumtawala mwanaume
 
Kama kuna kaukweli hivi
 
Wewe usiwe vuguvugu... Amua kua baridi au moto. Kama unaona mwanamke hana thamani kwako mpotezee kabisa hata shimo lake usihitaji. Vinginevo siku moja utakuta hiyo kengele yako haipo
 
hayo nayo ni mawazo yako
 
ungelikua na alichonacho sidhani kama tungebishana hapa, you just go and live your life, tafuta levo zako hata sijui umetoka wapi humu
Nimetoka huko huko ulikoanzia wewe Mkuu, acha dharau kwa wanawake kwa kuwatukana matusi makubwa kiasi hicho! Jiheshimu ili uheshimiwe
 
Wewe usiwe vuguvugu... Amua kua baridi au moto. Kama unaona mwanamke hana thamani kwako mpotezee kabisa hata shimo lake usihitaji. Vinginevo siku moja utakuta hiyo kengele yako haipo
Wewe sio mtu mzuri mimi nimesoma psychology asilimia kubwa maneno anayotamka/anayoandika mtu ndio anayofanya na ndio yanayotawala akili zake inaelekea wewe mwanaume akikuacha kama nafsi yako haijaridhia utammaliza.
Noted.
This show how fool you are, mwanzo ulianza comment kama mwanamke mwema mwishoni umetamka wewe ni nani haswa, thanks you me naongeza maarifa maana ndio lengo la kuleta hii mada hapa.
najiongezea silaha za kisasa za kuwadhibiti wanawake hahaaa.
 
Mkuu umeichanganya maandiko na mawazo ya kibinadamu. Biblia haikusema ile tunda ilikuwa tendo la ndoa bali ni tunda halisi km ilivyo matunda mengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…