Hivi wanawake wana mioyo gani?

Hivi wanawake wana mioyo gani?

Nimetoka huko huko ulikoanzia wewe Mkuu, acha dharau kwa wanawake kwa kuwatukana matusi makubwa kiasi hicho! Jiheshimu ili uheshimiwe
sasa kawa wanawake hawana adabu sisi tufanyeje tena? tuwabembelezeje? tuwape zawadi gani? nyie ni wa ku ignore tuu maadamu unaweza ishi miaka 1000 bila mwanamke na bila tatizo lolote la kiafya basi you are nothing.
Kikubwa tuheshimiane na sio mnatuletea mambo ya ajabu tuu hapa sababu nyie mko gifted no hata sisi tuna streghth zetu na tutawadhibiti vilivyo.
 
Nope mama yangu si mchafu she is bright just like me, hata daddy he was a good man wala mzee asingeweza kulala na mwanamke kama wewe.
Shame on you too usijilinganishe na mimi kwanza kalime ukanunue upate hela uoge na ununue nguo za ndani au kama utahitaji ntakumia japo zikusaidie maana naona wewe shida tuu kwanza ntokee hapa
Unajifariji tu! Wala matusi yako hayaumizi kichwa changu,zaidi unanipa mwanga kukujua wewe ni mwanaume legelege, dhaifu na mwanaume mwenye mdomo na mawazo machafu juu ya mwanamke, alafu unajikomba kuwa mama yako hayupo hivyo bila shaka una laana ya mama yako mpaka umeujua uke wake hauko hivyo si kazi ndogo
 
Hapo Ndo ujue kwanini yesu hakumweka mwanamke hata mmoja kuwa miongoni mwa wanafunzi wake 12 .
Nyuma yao yuko rafiki yao asieonekana kwa macho anaewapa kiburi na ujeuri. Huyo rafiki yao anawatumia km fimbo ya kuponda wanaume.

Hakika umenena
 
Mkuu umeichanganya maandiko na mawazo ya kibinadamu. Biblia haikusema ile tunda ilikuwa tendo la ndoa bali ni tunda halisi km ilivyo matunda mengine
Yas mkuu hoja yako naiunga mkono ila Mungu katupa maarifa ya kutambua mema na mabaya na vyote vilivyopo huku duniani natuvitawale pia. binadamu tumepewa uwezo mkubwa zaid ya viumbe vyote hapa duniani.
Sasa ndio sikatai hayo ni mawazo ya kibinadamu ila naona hivyo vitabu vitakatifu/biblia vimeandikwa na binadamu wenzetu waliotangulia kwa uwezo wa Mungu ila nachoona na kuamini mimi biblia haijawa open sana mistari mingine inatumia mafumbo ili ule utashi tuliopewa tu apply sio tutafuniwe kila kitu tuu jamani na kama wewe ni mtu wa Mungu na unasali basi maono unayoyaona na imani asilimia kubwa hayajagi directly bali yanakujaga kama mafumbo. Mungu anataka tutumie akili alizotupa kufanya mambo mbalimbali. wewe kama una amini ni tunda la kawaida sawa ila mimi najua ni sex tuu ndo maana hata mtoto wake wa kwanza kaini alitenda maovu na pia walijitambua wako uchi baada ya kumpa adamu tunda.
kwa kua adamu alikua hajala hakujua ila mwanamke alivyo muongo alijua yuko uchi akamdanganya adamu ale tunda na mwishowe kumpoteza kabisa
 
Unajifariji tu! Wala matusi yako hayaumizi kichwa changu,zaidi unanipa mwanga kukujua wewe ni mwanaume legelege, dhaifu na mwanaume mwenye mdomo na mawazo machafu juu ya mwanamke, alafu unajikomba kuwa mama yako hayupo hivyo bila shaka una laana ya mama yako mpaka umeujua uke wake hauko hivyo si kazi ndogo
we nawe sijui umekunywa viroba au washakuharibu huko, we kwa mawazo yako umewahi lala na wazaz wako basi.
how come ulale na mama yako?? shindwa lazima ukweli usemwe
 
Jipe muda kumchunguza mwanamke na akiigiza na wewe igiza zaidi yake halafu uwe kama zoba hivi hapo utamgundua kila kitu halafu kama unamwacha mwache moyoni ili siku akikuacha wewe uwe unacheka tu kwa sababu yeye atakuwa anafanya marudio ya kitu ulichofanyaga zamani
 
simchukulii mwanamke kiuzito kiasi hicho madamu nishamtoa kwenye mipango yango whatever she can do is up to her kwani yuko mmoja dunia hii? na akinibabaisha si nina chukua mwingine.
 
nyie wanaume ni wajinga kwa nini upewe tunda ukubali kula
Adam alimpenda Sana Eva kiasi cha kudhani hawezi tena kumpenda mwingine zaidi ya Eva. Na Eva alipomletea tunda huku akimwelezea adamu habari ya tunda lile. Adam akajua sasa Eva ni mtu wa kufa Mungu atakapokuja bustanini. Adam akamhurumia mkewe mwisho akakubali afe nae kwasababu ya upendo, akala tunda iliyoletwa na Eva. Lakini swali linachipuka what's next km Adam angekataa kula tunda? Nadhani Eva angeondolewa machoni mwa Adam, km shetani alivyoondolewa mbinguni. Na eva akafie mbali na adamu angepatiwa mwanamke mwingine na tungeendelea kuzaliwa Eden mpaka leo, hakuna njaa, kifo magonjwa wala shida Yeyote ile edeni.
 
Hapo Ndo ujue kwanini yesu hakumweka mwanamke hata mmoja kuwa miongoni mwa wanafunzi wake 12 .
Nyuma yao yuko rafiki yao asieonekana kwa macho anaewapa kiburi na ujeuri. Huyo rafiki yao anawatumia km fimbo ya kuponda wanaume.
Ni nan huyo?
 
naogopa kufungua uzi ndani ya uzi, naomba tuachane na mjadala wa "maria magdalena" maana ni mjadala mzito hata "pope himself can not give a conclusion!"
Usiweke matumaini kwa binadamu mwenzio km Pope. Yeye anadhambi km sisi tu anamhitaji yesu amhurumie pia
 
we nawe sijui umekunywa viroba au washakuharibu huko, we kwa mawazo yako umewahi lala na wazaz wako basi.
how come ulale na mama yako?? shindwa lazima ukweli usemwe
Ulijuaje kama uke wa mama yako uko safi hauna shombo La samaki kama wanawake wengine kama hukuunusa
Otherwise punguza jazba kwa kuwajumlisha wanawake wote kwenye uono hafifu na matusi mazito kama hayo, ni bora kumchambua mwanamke uliyekutanana nae kuliko kusema mashimo ya wanawake yanatoa harufu ya shombo, wakati ukijua fika ma'am yako ni mwanamke,dada yko ni mwanamke nk. Wanaume tunajua yanayowafika kwa kupitia haadhi ya wanawake ni mazito na ya kuumiza kichwa lakini isiwe sababu ya nyie kututukana wanawake wote hata usiyemjua unamtukana tu,iyo sio sawa!
 
The great question that has never been answered and which I have not been able to answer, despite my thirty years of research into feminine soul is, ``what does woman want ``
 
Khaaah! Tunatofautiana sana so huwezi kutuunganisha ktk conclussion moja, maana ukute hata sisi tunashangaana.
 
Back
Top Bottom