miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
hapana mkuu naongea ukweliWakuu mnamaneno makali....
hapana mkuu naongea ukweliWakuu mnamaneno makali....
Ndio adamu alifanya makosa sana maana hata kabla hajatwaliwa eva kutoka kwenye ubavu wake alionywa akaambiwa usili tunda na mti wa katikati yeye akala weee kilichomkuta ni siri yetu walimwengu na ndi maana nasema wanawake ni wadanganyifu sananyie wanaume ni wajinga kwa nini upewe tunda ukubali kula
hata we wanakudanganya sana sema hujui tuNdio adamu alifanya makosa sana maana hata kabla hajatwaliwa eva kutoka kwenye ubavu wake alionywa akaambiwa usili tunda na mti wa katikati yeye akala weee kilichomkuta ni siri yetu walimwengu na ndi maana nasema wanawake ni wadanganyifu sana
na tia moto maana sinaga mchezo mimi pia furaha yangu sio mmwanamke bali Mungu, upendo kwa wanaume wenzangu na pesamwone unaroho mbaya atuondoe halafu iweje ? we ni mbinafsi na sasa watakutesa mpaka ukome
Najua ndio maana siwezi muamini mwanamkehata we wanakudanganya sana sema hujui tu
basi ishi peke yakoNajua ndio maana siwezi muamini mwanamke
Huwa nakula naacha huko mradi nipate changu wala siwezi weka makazi ya kudumu maana najua ni njia panda tuu kuna magari yanayopanda ya yanayoshuka na mengine yanaenda kila konahata we wanakudanganya sana sema hujui tu
Naishi peke yangu ndio maana napata ujasiri wa kukuambia haya manenobasi ishi peke yako
Nipe andiko mkuu maana tunaenda kwa proofacha uongo, hujasoma habari za "Marry Magnalene", ambaye ndie alikuwa kipenzi cha yesu,
haya hongera usije na kathread cha kuomba ushauri kuhusu mahusianoNaishi peke yangu ndio maana napata ujasiri wa kukuambia haya maneno
kumbe tundu unalipenda halafu anakataa mbeba tundu hujielewi weweHuwa nakula naacha huko mradi nipate changu wala siwezi weka makazi ya kudumu maana najua ni njia panda tuu kuna magari yanayopanda ya yanayoshuka na mengine yanaenda kila kona
Maana angeweka hizo hasi na chanya pamoja lazima zingeleta Umeme na kuzaa Mwanga kama wa Adam na Evasababu tunaingia hedhi na tukibeba mimba hatuwezi tembea muda mrefu.. halafu pia alijua hawezi kuweka hasi na chanya pamoja ......
Ndo maana nakwambia mimi siwezi lihifadhi katika store yangu kama eti ni mali yangu. no ni kama chakula tuu unakula mwishowe unaenda kunya.kumbe tundu unalipenda halafu anakataa mbeba tundu hujielewi wewe
Kwenye maandiko matakatifu kaandika ''enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu"
kweye kitabu cha Mithali ila sijui ni mstari gani kama wewe ni Mkristu.
Unajua tokea mwanzo nyie ni waajabu sana?
Muone hawa/eva alivyolaaniwa kizazi chake, umewahi kujiuliza kwa nini kiungo chake cha uzazi kipewe adhabu? huyu kuna kitu alifanya na nyoka na ndio maana baada ya kumpa tunda adamu baada ya yeye kula walianza kuoneana aibu kwamba wako uchi.
Kumbuka befor kabla ya kula tunda walikua uchi ila walikua hawajitambui/hawaoni haya sasa baada ya kula tunda wakajiona wako uchi??
Simple logic hawa wali sex tuu na yule mtoto wa kwanza wa adam na haya yani kaini atakua mtoto wa yule nyoka ndo maana alikua ana roho mbaya na alimuua ndugu yake abeli. na pia mtoto wa kaini yani lameki nae aliua, sasa hapo utaona jinsi iyo dhambi inavyofata vizazi hadi vizazi. hapo na kudhihiridhihirishia tuu kaini hakua mtoto halisi wa adamu bali alikua mtoto wa nyoka, na nyoka sio nyoka umuonae sasa kumbuka nyoka wa kipindi hicho alikua mwerevu kuliko viumbe wote na alikua anaongea so kutokana na sifa zake za kipekee alimpiga sound eva akamla na eva akamzaa kaini ambae hata alivyofukuzwa na Mungu adamu hakulalamika. na ninajua hakulalamika sababu sio damu yake, always damu ni nzito sana lazima angemwombea msamaha mwanae.
Ukimnyoosha kwa pasi ya mkaa mwenzio atakunyoosha kwa pasi ya gesi labda aamue mwenyewe tu kiboya boya ila ukiamua kushindana na mwanamke ambae amedhamilia kukushinda utagonga ukuta babaKumbe unaongelea nature sio? basi hamuwezi acha sababu mlizaliwa hivyo.
Sasa kwa sababu tushajua udhaifu wenu na jinsi mlivyo nafsini mwenu psychology works lazima mtutambue.
Lazima tuwanyooshe.
Unatuchukia wanawake unaotuona huyo Mungu unaanzaje kumpenda?na tia moto maana sinaga mchezo mimi pia furaha yangu sio mmwanamke bali Mungu, upendo kwa wanaume wenzangu na pesa
kweli mkuu. hakuna mwanamke kamili ila yupo mwnamke bora.Ishi na mwanamke kwa akili. Narudia kwa Akili, akili, akili, usijifanye mr. 50/50 au mr.huruma na huruma zako za kibinadamu, Jua Bwana anataka uishije na mkeo maana anamfahamu zaidi yako , sisemi umtese, La Hasha. Ila tambua kuwa sio kila mwanamke utamchekea chekea mkaishi vizuri. WENGINE WANATAKA WANAUME WAHUNI WAHUNI FLANI HIVI JAPO UTAMSIKIA AKISEMA ANAHITAJI MCHA MUNGU ila wewe mcha Mungu ukiishi naye mnashindana mapema lakini akienda kwa jamaa MHUNI flani hivi wa kumfinya na kumpiga makofi ya hapa na pale, ndio moyo wake unatulia hadi utashangaa. Kwa mfano: UKISIKIA ANASEMA HATAKI MWANAMME MCHEPUKAJI, USIMWAMINI KWA 100%, MAANA HUENDA NDIYE ANAYEMUONA MJANJA WA KUISHI NAYE AU KUTOKA NAYE.